Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hapo chacha...unakoleza ndimu pilipili...makorokocho yote....ss vijana stress..zee km hili ukilipa vitu adimu akapiga kabao kamoja si anakuona eehhh

Vitu adimu kama vipi? Naomba unitoe tongotongo plz
 
Hapo chacha...unakoleza ndimu pilipili...makorokocho yote....ss vijana stress..zee km hili ukilipa vitu adimu akapiga kabao kamoja si anakuona eehhh

umeona eeehhh
yani kylinn mjanja sana
kajibebesha na mimba tena mapacha juu..!!!halafu wa kiume
weeeeee wachaga na mabebi boy na kajihamishia mama instagaram huko yaani dada anatupia tu vya ukwee
 
Nikimpata wangu ctaki shoga yangu amshike mkono....... k lyn aliimba enz hzo.... naona mzee kasikia kilio....
 
Nakumbuka mzee wangu aliwahi niambia "tafuta pesa ukizipata tafuta mke,endelea kutafuta,ukizembea utakosa vyote mke na pesa". Pesa ni sabuni ya roho.
 
umeona eeehhh
yani kylinn mjanja sana
kajibebesha na mimba tena mapacha juu..!!!halafu wa kiume
weeeeee wachaga na mabebi boy na kajihamishia mama instagaram huko yaani dada anatupia tu vya ukwee

Aisee dada anatupia vya ukweli haswaa... Uliona early birthday present yake? A BIRKIN handbag.. Uuuwiiii nakufa mie maana hiyo bei yake ni balaa aibu hata kusema
 
ni sheeeda mama mwache ale vijana wamemtesa sana
kula rahaaa dada nakuunga mikono yote mimi
yaani kylnn anachapa bakora hatariiii
 
Aisee dada anatupia vya ukweli haswaa... Uliona early birthday present yake? A BIRKIN handbag.. Uuuwiiii nakufa mie maana hiyo bei yake ni balaa aibu hata kusema

nipe jina analotumia insta nimfollow
 
hizi double standards zinaniachaga hoi, mzee machahe na K lyn mbele ya macho ya wengi ni sawa kabisa lakini mwana fulani na the boss kwa hao hao ni laana, eti kamchukua bibi yake.

Bibi kwani kamzalia mamake.....binadamu hawaishiwi maneno ujue....
Narudia age is a number.... ..kama Mioyo imekubaliana tatizo ni nini? Kwani kuwahi au kuchelewa kuzaliwa ni dhambi?
 
Back
Top Bottom