Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

sijamwita mimi, nimesema dini....hata yakijaa yawe mamilioni mtaani, bada wataendelea kuitwa bastards kwa mujibu wa dini. ukate au ukubali. It is a religious fact.

Kama unaongelea dini,hayo mambo yako complicated ni Mungu pekee ndio anahukumu.....siwezi kamwe kumuita innocent child bastard,tena wazi wazi....kaa kny lane yako tafadhali.....kila mtu ana mapungufu yake,unaweza kukuta kwa mfano wewe ni lifi.raji,mchawi,jambazi afu una guts za kumuita innocent child bastard?!...mnh na ushindwe......
 
Hahaahaaa, You have a point..
 
big up k lyn wanaomlaumu nawashangaa kuna watu wameolewa na vijana lakini ndoa haijadumu hata miaka 2 bora uolewe na babu mkidumu japo miaka 15 ndo azeeke watoto watakuwa secondary. mi kama babu yako katulia alafu bibi yako anazingua niunganishe ani pm jinsi ntampetipeti hiyo furaha utashangaa mikunjo usoni imeondoka kawa kijana maana ngozi zingine zimejikunja sababu ya stress. "AN EGG TODAY IS BETTER THAN A HEN TOMOROW"
 
maneno ya mkosaji hayo.

Nina zangu halali za kunitosha mkuu!!! Nimesema tu kuwa kuolewa na baba yangu kama ningekuwa binti haitawezekana. Hata leo niachane na mke wangu wa over years au bahati mbaya afariki sitaoa mwanangu i.e binti wa umri sawa na vijana wangu, never never. No thank you, again!!! Wanawake wa kuzeeshana au hata wanaume wa kuzeeshana ambao pengine spouse alifariki au hata kuachana (bila mimi kuwa chanzo) wapo tele ukitulia!!! Kwa taarifa tu ni kuwa ninamheshimu sana mzee Mengi ila kwa hili niko tofauti naye. Cheki hata post zangu hapa zinazohusiana na mzee Mengi niko positive sana but for this mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!! Big no!!
 
Kweli pesa ndo kila kitu aiseeeee,,duuuu mengi anaoa mtoto wake kabsaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom