ni kukutanisha vikojoleo kabla ya ndoa....
Hahaha
ni kukutanisha vikojoleo kabla ya ndoa....
Hahahhaaa umenichekesha sana wangu.
Ova
Wapo kifamilia zaidii!!Wananenepeana tuu!hivi beast na marlow wameishia wapi jamani, hawaonekani hawasikiki.
mi hata siwajui wamekuwa kimya mnohivi beast na marlow wameishia wapi jamani, hawaonekani hawasikiki.
Mazingira yao tu Heaven. Trump huwa yuko wazi sana kwenye hili. Ni prenup tu kuepusha hayo mawazo
Ndoa ya bomani ni kuzini?
bila shaka kwa imani ya dini zetu
na bado watazini maana watafunga ndoa ya bomani
Majanga. Naomba vifungu vya vitabu vinavyotumiwa vinavyosema kwamba ndoa ifungwe kwenye nyumba hizo za ibada!
wala sina haja ya kukupa vifungu we mwenye shida ndo katafute vfungu ili uelewe vizuri
Shukrani GT.
Bora hata umeleta stori inayoeleweka hapa ndo nimepata picha...upo Global nini
Huyu Mzee ni muathirika wa ndoa, kama sasa ana furaha, basi angalau apumzike. Mkewe wa kwanza na ndiye aliyetajirika naye ni mtata sana, kwake ugomvi ni jambo dogo sana, ukipita mbele ya nyumba yake utamsikia tu anafoka na yule mtunza bustani yake ya maua.
Huyu mama ni kiboko ya huyu Mzee, kwani na kiburi chake chote kwa yule mama huwa ananywea kabisa, na kuna wakati waligombana Mzee akashtukia bunduki ya mama ikiwa chini ya mtoto wa kitanda, ndipo Mzee akatoroka nyumbani na kuhamia Haidery Plazza.
Baada ya muda fulani wa upweke akahalalisha mapenzi yake ya muda mrefu na Madam Ritha, kwani walianzana tangu akiwa mwajiriwa wa IPP na ndio sababu ya agizo la mke wa kwanza la kutaka atimuliwe kazini.
Baada ya kuhalalisha Mzee akanunua ile nyumba ya Kinondoni na kuifanyia ukarabati mkubwa ili Mzee aishi pale na Madam. Nakumbuka Madam ndio alikuwa msimamizi wa ukarabati ule, na ukarabati ukafanikiwa na maisha yakaanza.
Lakini ghafla pepo ikaingia balaa, Madam akabainika kuwa na vimchepuko ambavyo ni vijana wadogo, Mzee akaamua kunawa mikono na kujiweka pembeni, na miradi aliyomuanzishia ikawa ndio zawadi yake.
Mzee akasogea kwa binti mmoja Mdogo sana wa Kichagga anaitwa Rose, alikuwa mwajiriwa wa Ofisi ya Msajili wa Makampuni, iliyopo kwenye jengo la Ushirika. Naye akamuoa, lakini ndoa yao haikudumu kwani huyu binti hakuweza kuachana na aliyekuwa mpenzi wake akawa akiendelea kisiri na kumsaidia sana kiuchumi, Mzee alikerwa na hilo akamuacha.
Na K Lyyin naye kapitia njia ngumu kwenye mapenzi, kila aliyekuwa naye hakuona kama anafaa kuolewa, akaoa mwanamke mwingine, nakumbuka alipojiingiza tu kwenye muziki aliingia mapenzini na Mzee (wakati huo akiwa na Madam) lakini baada ya muda waliachana.
Kama akina Kinje na yule bilionea wa mali za famili Mhe. Mohammed D, pamoja na yule Mzungu aliyemtorosha Bongo wakati akimgombania na Kinje.
Nadhani kwa njia hizo, wote sasa wanaweza kuamua kutulia baada ya kuchoshwa na sarakasi za mapenzi na kuchukulia kwamba hii ni nafasi yao ya mwisho kujisahihisha. Nawatakia kila la kheri.
Ova
Mdakuzi
Kweli don't judge the book by its cover, kumbe pamoja na mipesa yote huyu Mzee hajawahi kufurahia maisha kama kina siye pangu pakavu tia mchuzi.
Kweli maisha yana maajabu yake, unakuta malofa ndio wana happy marriage lakini nao wanakabiliwa na changamoto za kiuchumi.
Who knows....?!!! hahahaaa siri ya ndani hiyo....siku hizi hao vijana wenyewe wanakeshea supu ya pweza na juisi ya tende.....