Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Haaaaaaaa bado...., siku hizi mambo ya shake well before use

Hihihihaaaaa! I like it! Shake well before Use.

Any way! Nafikiri Klyn ni Mwekezaji Mzuri sana. It will come a time when she will be having her true lover. By that time she will be financially okey.

Tatizo la Mabinti wasikuhizi, wana chase two ends at the same time. i.e Money and Love. Kln yeye ameamua ku PRIORITIZE . One goal at a time.
 
bora hiyo adhabu ya kuishi na huyo babu na mkwanja upo, kuliko kuishi na pasua kichwa ambae hata pesa ya bikini hamna na stress za kutosha(sipo tayari kwa masimango)

Hahaaaaaa shikamoo pesa! Fortunes ndo habari ya town! nimedate masikini nimedate tajiri, tajiri is better am telling you!
 
Hihihihaaaaa! I like it! Shake well before Use.

Any way! Nafikiri Klyn ni Mwekezaji Mzuri sana. It will come a time when she will be having her true lover. By that time she will be financially okey.

Tatizo la Mabinti wasikuhizi, wana chase two ends at the same time. i.e Money and Love. Kln yeye ameamua ku PRIORITIZE . One goal at a time.

Ngoja nikwambie by the time anasema am ok financially sasa wacha ni date true love she won't find one, badala yake atakuwa akifanywa sugar mamy!
Huwezi pata yote!
 
eti niwe na adabu, wakisikia hela ndio wanajifanya tuwe na adabu, kuwa na hela uone utakavyoheshimiwa

True! Hawajui pesa huleta heshima! Huna haja ya kubembeleza adabu kwa mwanamke, kuwa mtatuzi wa shida zake u shall see!
Waulize mbona wao wenyewe wanaume kwa wanaume wanaheshimiana na kudharauliana just bcoz of their financial status?
 
Kwan hujasikia ndoa za matajiri zilizokufa

Ndoa zote zinakufaga! iwe tajiri au masikini zote zinakufaga! So hii statement ya kusema oooih matajiri ndoa zao hazidumu ni namna ya masikini kujifariji wakati dawati la ustawi wa Jamii linapokea malalamiko si chini ya 8 kwa siku kuhusiana na kuvunjika kwa ndoa za masikini!
 
Ingekuwa du.du haisimami sawa,kama inasimama,inakupa mapacha,unaenda dubai na france...kuna shida gani????....au useme ni adhabu gani specific utaipata ukiwa na rugemarila???,kama ushawahi kuwa nae lakini?!......acheni hizo,kila mtu ana preference zake,wewe kama unapenda kijana mwenzio,kuna mtu anapenda mzee.....and yes old people deserves some happiness as well........

Thank you Jestina! You said it well!
 
Mkuu mbona unaonekana imekuumiza sana huyo mdada kutoka na Mengi... Mdakuzi kaelezea vizuri sana hapo juu njia ambayo Kylin kapitia, kashaona sie vijana ni wababaishaji na kajiamulia kutulia na Mzee wake. Hapo kuna shida gani?? Wewe definition ya mapenzi kwako ni ipi?? Kama du.du anapewa vizuri, anatembelea gari nzuri, ana biashara inayoeleweka, account imeshiba, anaishi sehemu nzuri na akitaka vacation any place any day anaenda maisha yanataka nini zaidi?? Hapa tunadanganyana tu mapenzi mapenzi, kila binadamu anahitaji financial freedom first ili hivyo vingine vifuate..

Ahsante Nkya! Ni brainwashing ili wanawake wakubali umasikini na kuishi na wanaume wazembe and lazy maisha yao yote mradi asiitwe gold digger! No way .... kila binadamu anahitaji financial freedom first!
Mimi mwenyewe mwanaume mwenye akili ya kimasikini apite mbali siwezi ku tolerate at all!
 
Watu wanasahau kua hakuna adhabu kubwa kama kulala njaa. Bado hata hao vijana ukianza nao wakati wa shida, wakizipata wanakimbilia kwenda kuzihonga unajikuta unaumia.

Kulala njaa wanataka uvumilie! Eti ndiyo true love!
 
Ingekuwa du.du haisimami sawa,kama inasimama,inakupa mapacha,unaenda dubai na france...kuna shida gani????....au useme ni adhabu gani specific utaipata ukiwa na rugemarila???,kama ushawahi kuwa nae lakini?!......acheni hizo,kila mtu ana preference zake,wewe kama unapenda kijana mwenzio,kuna mtu anapenda mzee.....and yes old people deserves some happiness as well........
ujana kitu gani, pasua kichwa
kline kapata bahati atulie maneno ya watu wasimnyime raha
 
Na maisha yanasonga,vijana endeleeni kushangaa tu mzee anakula mzigo badala ya kutafuta pesa ili na nyie muwe na heshima!!!!
 
Hakuna Mr Machache huko anayembwelambwela na mie nikajiongeze?? Maana hapo stress hakuna kabisa
 
warumi upo binamu? au ndo umeenda chukua PhD?
mjasiria na wewe uje utupe umbeaa....hahahaaa

nimerudi mwenzangu, nilikuwa nafanya internship mahali pamenishinda kwa kweli, u busy masaa 24 na umbea napiga saa ngapi? nimeacha mie watajibeba, nimerud kwenye maisha yangu halisi yanayonipa raha na amani
 
Last edited by a moderator:
nimerudi mwenzangu, nilikuwa nafanya internship mahali pamenishinda kwa kweli, u busy masaa 24 na umbea napiga saa ngapi? nimeacha mie watajibeba, nimerud kwenye maisha yangu halisi yanayonipa raha na amani

Ahahahhaahahah, binamu una vituko si kidogo, mrudi mwaya utume umbea wa mjini
 
Back
Top Bottom