Hatimaye K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe) achumbiwa na Reginald Mengi

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,147
2,000
Hayawi hayawi sasa yamekua! Hatimae Yule mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania, Jacqueline Ntuyabaliwe(K-Lyin)

Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee machache akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo, nae bila hiyana alipoulizwa "Will you marry me" hakusita kusema "I do", Unaambiwa Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa, yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS.... (Mhhh )

Ama kweli mwenye pesa si mwenzako, All in all SHIKAMOO PESA na vijana wa kiume endeleni tu kujituma kuzisaka msikate tamaa.
 

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
9,629
2,000
Heaven on Earth

Ama kweli mwenye pesa si mwenzako...., All in all SHIKAMOO PESA na vijana wa kiume endeleni tu kujituma kuzisaka msikate tamaa...[/QUOTE]

Mh! makubwa!!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom