mchumia tumbo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 1,459
- 476
Kweli pesa dawa ya penzi
Mzee mengi bado anazini coz mkewe wat mwanzo angali Hai na dini yake inasema Ni kifo tu kitakachowatenganisha
Mabastard yamejaa kibao mtaani,na ungekuwa na dini usingemuita mtoto wa mwenzio bastard....
Ila huyu dada hesabu zake alizipiga vizuri kiukweli.
kivipi?
Pesa daaa kijana huitwa mzee kwa heshimaHaaaaaaaaaa angekua kule Simiyu analima mahindi hapo ndio hiyo falsafa ingekaa vyema
Bibie ka target hapo
Kweli pesa dawa ya penzi
Ila huyu dada hesabu zake alizipiga vizuri kiukweli.
ndo kuna usemi mpya saivi mjini.,, ''MAHABA NIUWE'' ,,
mahaba usiniue kwanza nipitishe uchochore nigaragaze nikutane na muescrow 1alochota nil 4 hapo ndo unipovue nsiondoke
kwani anasali wapi? labda diniyake inamruhusu
kwanini blogger
Vibabu hvyo!! Mwafuata mbesa..
K lyn atakua ana washauri wazuri sana kiuchumi.. Wameangalia mbele miaka 30 ijayo.