Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
wewe mtoto uwe na adabu
Hahaahaaa hahahaaaa
wewe mtoto uwe na adabu
The boss?
Na vijana wa kike vile vile wanatakiwa wajitume kuzisaka sio kupenda vya bure tu, matokeo yake ndio haya. Ukiwa na mipango yako huwezi kukubali kutumika kama starehe ya wenye nazo, kuishi na babu yako nayo adhabu kubwa sana.
Haaaaaa eti kuishi na babu ni adhabu kubwa...,.. kuna mdau ye kasema anamfukuzia Rugemarila... lol.. PESA hizi hatari
Hahaahaaa hahahaaaa
bora hiyo adhabu ya kuishi na huyo babu na mkwanja upo, kuliko kuishi na pasua kichwa ambae hata pesa ya bikini hamna na stress za kutosha(sipo tayari kwa masimango)
The boss?
Mnh mazingira yapi? What if Kylin atangulie mbele ya haki amuache mzee Mengi?.....hivi hizo prenups ni kwa matajiri peke yake??wale wa kawaida kwa mtogole ambao wanamiliki tu asset mbona huwasikii wakisign hizo prenups?yaani mtu uliyemvulia pichu na kukaa nae kimapendo hutaki aondoke na mali zako???.....wanaume wako soo selfish.....
Haaaa mapenzi hana pesa hana basi shuruba tupu....
Ila mimi to be honest nahitaji kijana mwenzangu tu..... hawa wazee No way shoga
kwa mengi usitulie unakitafuta nini?!!
Jestina, kwa angle yoyote utayotizama mahusiano ya me & ke kimapenzi, mwanaume ndie anaeumia kiuchumi. Ndo maana kuna maneno Mario, Golddigger, etc.
Anytime mdada mwe kufaa kuwa mtoto wa huyo mwanaume akijihusisha nae kimapenzi, then ni ngumu sana kuwa true love. Often times ni maslahi. Jamani, Klyin na Mengi?! Jestina please........ usitetee tu kwa 7bu ni ke...... kuwa real!!
And yes, prenups ni kwa matajiri coz ndo tunaofuatwa kuchunwa na mabinti kunufaika kupitia 'my'/out money.... experience is the best teacher Tina.
Akitangulia ke, no problem! Hana cha kupoteza. Nikitangulia me na hakuna prenup, mama yangu mzazi! Ndo watamjua huyo 'mpenzi' wangu true colours zake!
VERY RARELY ikawa mapenzi ya kweli, Tina!
Haaaaaa eti kuishi na babu ni adhabu kubwa...,.. kuna mdau ye kasema anamfukuzia Rugemarila... lol.. PESA hizi hatari
Jestina Kinje hayupo Forbes aisee! Usiwafananishe!! Experience is the best teacher! Come tell me those words in 5yrs time.
Halafu, ombea adui yako aishi siku nyingi........
Wanataka kufanikiwa kimaisha kwa njia ya mkato, sasa kukubali kuwa kiburudisho cha mzee kama Rugemarila si adhabu tu. Kuna mambo mengine ya nyuma ya pazia yanawatesa lakini ni siri zao.