mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 661
We acha tu! Tena ukija kuangalia hawa Mamiss aliowapitia pitia, hasa wa Miss Ilala walikuwa wakimwachia maumivu tu. Na zaidi yule mrembo anaitwa Dotto Nusurupia aliyemnunulia ile Benz nyeusi aliyokuwa akiwakimbiza nayo warembo wenzie, lakini mwisho wa siku akapigwa mimba na mshikaji mwingine.
Unadhani kwanini Mzee aliamua kuishikia bango issue ya dawa za kulevya kwenye vyombo vyake vya habari? Ilikuwa ni kwa ajili ya Kinje, ambaye walizinguana kwa K Lyyin wakati akitoka kutwaa taji la Ilala, kwa sababu K Lyyin aliwapiga tri angle, mzee akajiondoa. Ila Mzee anajua kuchagua visu hahahahaaa!
Ova
Wewe kweli noma!