DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,440
- 5,751
- Thread starter
- #121
Sshukrani mkuuIkawe kheri kwenu.
Sshukrani mkuuIkawe kheri kwenu.
Ameen sanaHongera sana mkuu, kila laheri ndoa ikawe yenye baraka sana, itawaliwe na amani......
Alete mapema kabisaAhadi ni deni nimekukuta kwenye uzi wake uliahidi, tunaomba mchango 😹😹
makaveli10
Kabisa yaniTeam Kataa ndoa wataku dis... achana nao usiwasikilize!!
Katika hilo la ndoa niseme tu POLE SANA. Unachotumia nguvu kubwa kukitafuta soon UTAKIPATA.Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Asante mkuuHongera
Ameen na ikawe hivyoWow hongereni, kweli mvumilivu hula mbivu. Huko Judy atakuwa na furaha sana. Ndoa ikawe ya kheri, utulie, Mwenyezi Mungu awatangulie.
Asante mkuuHongera sana mkuu
Tunampa miezi 6 tu atajua nani kapigwa bao."Kataa ndoa" wamepigwa bao!
Kila jambo linakuwa na matokeo chanya au hasi no lazima tukumbane nayo.Mi napenda sana mikakati ya kiuchumi ya wanawake wa kichaga aiseh!
Wakiitaka ndoa wanawekeza sana coz anajua akiipata ndoa amepata uwekezaji wa kudumu!wakifikia malengo then mnatafuta life kwa Kasi sana then mkishapata kazi inaanza mkuu!!
Ni ngumu sana kujua huyo mwanamke ni kwanini alikubali uishi nae majibu unayapata baada ya miaka mingi sana Tena sana!!ukishayapata inakua too late kufanya lolote halafu ye anakuambia kirahisi TU "wanawake wapo wengi nenda kaoe" baada ya kuona kapata muelekeo!kumbe wewe uliwekeza maisha rasmi na nafsi!!!
Sijui tufanya maamuzi gani hasa kwenye haha maisha aiseh!!
Sshukrani mkuu karibuAseme tu namna ya kumfikishia mchango, anapewa haina ugogoloshi.
Amina sanaHii ni habari njema, nimefurahi sana.
Nilivunjika moyo kwa mapito uliyompitisha Judy, umeamua kumuoa nimefurahi mno!
Hongereni, Mungu aibariki ndoa yenu.
Asante sanaHongera sana mkuu
Tusisikilize walimwengu hawana wema,
Hawana wema hao,
Tupatapo neno tulichuje lililo Jema liwe wetu,
Kama kujenga, mimi na wewe Tutunze ndoa yetu,
Tusisikilize walimwengu hawana wema,
Hawana wema hao,
Mpenzi wangu Lamomy 😍 hii nyimbo isipopigwa hamlii wala kula ndafu na nyama choma
Insha'Allah nasi vijana wa Dr am 4 real PhD tuoe anaanza huyu SECRETARY BIRD uoe & Intelligentbusinessman
Yes sasa inaenda kurasimishwa..lakini mlishakuwa mwili mmoja bila ruksa/unofficial
Swali hili lingeulizwa miaka minne iliyoputaMkuu una uhakika unataka kuoa kweli ?
Had wewe mama Kuhani#ukitakakumuonashetanilivefungandoa#
Uzi niliweka upo huku 😂
AmenHongereni sana kwa kuchukua hatua hii ya muhimu maishani mwenu.
Nawatakia kila la heri katika maandalizi ya ndoa yenu na maisha yenu mapya pamoja.
Aliyekiunganisha Mbinguni, asitokee wa kukitenganisha Duniani isipokuwa Kifo pekee.
NotedMkuu kila la kheri ila nakukumbusha tu mkishaa kua matajiri usisahau kuandika wosia ila hiyo pisi ya kichaga inakupenda sana.