Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.

Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang

Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.

Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.

Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.

Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Usiache KUPIGA Gita na vinanda kanisani baada ya ndoa, unaimbaga sauti ya ngapi bro fundi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom