Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Oya mwanetu huyo juddy apewe maua yake na ukitaka kumuoa basi kuna mchango wako kwangu mzee.

Mie kama mwenyekiti wa jumuia ya WANAUME jamiiforum nitaongea na katibu, muweka hazina na wanachama wote kwa ujumla tumjadili juddy na adhabu gani upewe ukimbadilika baada ya kuoiga pesa.
Ahadi ni deni nimekukuta kwenye uzi wake uliahidi, tunaomba mchango 😹😹
makaveli10
 
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.

Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang

Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.

Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.

Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.

Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Team Kataa ndoa wataku dis... achana nao usiwasikilize!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom