Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

😁😁
Siwezi kula huku wa ubavu ananiangalia tu, mwe! Nitaonekana mchoyo ingawa kasusa kwa kupenda.

Hapo bado kulazana mzungu wa 4, wacha tu tuendelee kulala na kujikumbatia wenyewe…Huku tukiota ndoto za kukimbizwa.

Wengine roho zetu nyepesi.
😹😹😹 Hapo kwenye ndoto za kukimbizwa..
 
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.

Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang

Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.

Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.

Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.

Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Pamoja Sana mkali

Sasa umeamua rasmi kulala huku ukiwa umejificha
 
Hongereni sana kwa kuchukua hatua hii ya muhimu maishani mwenu.

Nawatakia kila la heri katika maandalizi ya ndoa yenu na maisha yenu mapya pamoja.

Aliyekiunganisha Mbinguni, asitokee wa kukitenganisha Duniani isipokuwa Kifo pekee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom