Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Kwanini niyarudishe ?😂, halafu kwanini ukimbie swali kingine!Hahaha!
Nikikukabidhi maisha yangu uyaishi ndani ya mwezi tu unayarudisha😁.
Kwanini niyarudishe ?😂, halafu kwanini ukimbie swali kingine!Hahaha!
Nikikukabidhi maisha yangu uyaishi ndani ya mwezi tu unayarudisha😁.
Kweli nyie na Inte ni mabundiHahaha!
Nikikukabidhi maisha yangu uyaishi ndani ya mwezi tu unayarudisha😁.
🙏🙏🙏Amen
Hahaha!Kweli nyie na Inte ni mabundi
Hautayaweza..😁Kwanini niyarudishe ?😂, halafu kwanini ukimbie swali kingine!
Haina kwere, sema ganja zita kuua fwala wee😂kqribu kwenye chana chetu mkuu mshawishi bwana sadali Intelligent businessman nae aoe
uta kuwa una kunywa damu yangu ama?Hautayaweza..😁
Ingawa wengi wanaya admire.
huyu Pyaar ana weza sababisha tukeshe, kwani ana vibe 😁😂Kweli nyie na Inte ni mabundi
Hahaha!uta kuwa una kunywa damu yangu ama?
kwanini una kimbilia kusema maisha yako sita yaweza, ingawa wengi wana ya admire?Hahaha!
Hapa sijaelewa mkuu, kivipi?
Upekee.kwanini una kimbilia kusema maisha yako sita yaweza, ingawa wengi wana ya admire?
Means wewe wa kishua sana?, au kipi kina kufanya uhisi hivyo?
ila upekee ndio ubora wenyewe, kufanana na kila mtu ni ushamba.Upekee.
Kwa mwingine atayaona ni magumu sana.
Hapo sasa umenielewa.ila upekee ndio ubora wenyewe, kufanana na kila mtu ni ushamba.
Upekee ni kusimamia na kuishi kile unacho amini, it's just about being real.
yap, kikubwa usi pigane tu.Hapo sasa umenielewa.
Hahahaha!yap, kikubwa usi pigane tu.
sijajua ni vibe au nini, ila acha niende taratibu tu maana nisije haribu😊
Nadhani hii pole ungepewa wewe unayepigwa na vitu vizito.Pole
Kila la kheri mkuuWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Pole again.Nadhani hii pole ungepewa wewe unayepigwa na vitu vizito.