Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,692
Wow hongereni, kweli mvumilivu hula mbivu. Huko Judy atakuwa na furaha sana. Ndoa ikawe ya kheri, utulie, Mwenyezi Mungu awatangulie.
Hivi ni kwanini jaman? Au ile kekiSIku zote mapenzi ni matamu sana kabla hamjashirikisha makaratasi ya kisheria.
Kila la kheri kwake...
Kila la heriWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Aseme tu namna ya kumfikishia mchango, anapewa haina ugogoloshi.Ahadi ni deni nimekukuta kwenye uzi wake uliahidi, tunaomba mchango 😹😹
makaveli10
Mi sijui yaani. Ndoa ikishafungwa mnakuwa sio marafiki tena bali maadui. Ni yale makaratasi naona😃😃Hivi ni kwanini jaman? Au ile keki
Hii ni habari njema, nimefurahi sana.Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Full kuviziana😆🤲Mi sijui yaani. Ndoa ikishafungwa mnakuwa sio marafiki tena bali maadui. Ni yale makaratasi naona😃😃
CcKwa mahitaji ya kutengenezewa kalenda ya kupata uroda..
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30
Ambayo utabandila ukutani
Mfyuuuuu 😹😹😹😹😹
Nijipinde kukaangiza halafu mlaji muda wa kula ananuna, Aaaah weee!
Uroda toka kwa nani 😸Kwa mahitaji ya kutengenezewa kalenda ya kupata uroda..
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30
Ambayo utabandila ukutani
..lakini mlishakuwa mwili mmoja bila ruksa/unofficialWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Mfyuuuuu 😹😹
Mwehu weeh, shenzy umenifanya nimecheka km chizi..!!
Si tulikubaliana akikataa kula unapakua unaongeza na nyama unakula mwenyewe au katiba imefanyiwa marekebisho?? 🤣
Secret bird na rais wetu wa sisi jobless pro max, wapi makutupola ,wapi balatola.Hongera sana mkuu
Tusisikilize walimwengu hawana wema,
Hawana wema hao,
Tupatapo neno tulichuje lililo Jema liwe wetu,
Kama kujenga, mimi na wewe Tutunze ndoa yetu,
Tusisikilize walimwengu hawana wema,
Hawana wema hao,
Mpenzi wangu Lamomy 😍 hii nyimbo isipopigwa hamlii wala kula ndafu na nyama choma
Insha'Allah nasi vijana wa Dr am 4 real PhD tuoe anaanza huyu SECRETARY BIRD uoe & Intelligentbusinessman
Kama unayemuoa sio bikira na haujamtoa wewe bikira,haina haja ya kuutangazia umma,Baki nayo moyoni tuWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.