DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,574
- 6,119
- Thread starter
- #141
Kama upo moshi nikuletee dar nimetoka kidogoNaomba kadi ya mwaliko
Kama upo moshi nikuletee dar nimetoka kidogoNaomba kadi ya mwaliko
Amen mkuuMaashaAllah, hongera sana mkuu what a milestone
Nawaombea ndoa yenye Baraka
Kweli kabisa.hiyo ni nzuri coz una kuwa msikivu na mtulivu, napenda familia kwani ndio ime tujenga na naelewa umuhimu wake.
Sipendi tu makelele yaliyo zidi, mtu mjuaji au mpenda vurugu.
Haina tabu mkuu, tupe utaratibu.Sshukrani mkuu karibu
We ni homebody au out door, fan wa movies, food & books?Kweli kabisa.
Familia ni nzuri mkielewana.
Nita ku PM Mzee wanguHaina tabu mkuu, tupe utaratibu.
Hahaha juice ya tembele😁, hebu nifundishe hiyo recipe.Hahaha!
Mimi bwana nakipenda kitanda na simu yangu.
Books❌
Movies❌
Listening to music, esp. Country music + R&B✅
Kupika sio sana, ila nikipika majirani kazi lazima waipate😁
Kula kwangu sio the first priority.
Nina uwezo wa kukaa ndani 2 months pasipo kuliona jua kama kila kitu kimo ndani. View attachment 3313554
Karibu juice ya tembele😁
Hahaha juice ya tembele😁, hebu nifundishe hiyo recipe.
I'm a big fan of music k pop, rnb, afro beat, gouyue, guofeng, and any music style as long as iko na vibe au Ina beba feelings fulani.
Kula kwangu ni first priority, mama yangu ni mpishi mzuri sana so ili kuwa lazima kuwa addicted na chakula.
SInywi bia, sivuti sigara au kilevi chochote.
yoh madam hebu slow down, nime ona juice iko black, hilo tembele na li blend bichi au nachemsha kwanza😂Safi sana.
Tembele + ndimu + moss jelly+ sukari kiasi + vanilla syrup (Kama unapendelea)
yoh madam hebu slow down, nime ona juice iko black, hilo tembele na li blend bichi au nachemsha kwanza😂
Aliyekuwa ananisapotJudi ndo yupi yule aliekua anakusapoti au yule mke wa mtu?
Ni moja ya music unaopendelea?
Yap kaimba Jason Zhang nzuri mno, nili Iona kwenye series fulani ya kichina.Ni moja ya music unaopendelea?
Ooh!Yap kaimba Jason Zhang nzuri mno, nili Iona kwenye series fulani ya kichina.
una itwa standing sword, we ni early sleeper au ni owl team?Ooh!
Nitajaribu kuisikiliza.
Ok.una itwa standing sword, we ni early sleeper au ni owl team?