Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Hahaha!
Sifa yangu kubwa ni observer.
Siyo mtu wa company.
Najumuika tu pale ninapokaribishwa, kama sijakaribishwa sisogei.
Ninauwezo wa kuishi mahali zaidi ya mwaka mmoja na nisifahamike.
sio mbaya, maana hata nami Kuna muda napenda kuwa mwenyewe tu.(Ila Kuna saa Ina boa mno).

Hahaha yaani Mwaka mmoja na usi fahamike, huo Sasa ndio u ghost wenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom