Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Mkuu kila la kheri ila nakukumbusha tu mkishaa kua matajiri usisahau kuandika wosia ila hiyo pisi ya kichaga inakupenda sana.
 
Uzuri uko muda mrefu humu so usiseme hukuambiwa ! 😂😂😂
Wala usije ukatuomba ushauri 🤣 ukishapigwa na kitu kizito chenye ncha kali
Kama wewe ulizaliwa ili uje kupigwa na vitu vizito ni wewe,

Maisha yako sio maisha ya mtu mwingine

Simulizi ya maisha yako si simulizi ya maisha ya mtu mwingine

Kila mmoja anayo safari yake ya maisha ambayo inatengeneza hadithi nzuri au mbaya.
 
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.

Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang

Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.

Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.

Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.

Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
Maandalizi kabambe ya kuchapiwa haya.
Uwe mvumilivu tuu.
 
Kama wewe ulizaliwa ili uje kupigwa na vitu vizito ni wewe,

Maisha yako sio maisha ya mtu mwingine

Simulizi ya maisha yako si simulizi ya maisha ya mtu mwingine

Kila mmoja anayo safari yake ya maisha ambayo inatengeneza hadithi nzuri au mbaya.
Pole
 
😁😁
Mimi tatizo sio Uhuru, napenda niulizwe unakwenda wapi, na kwanini? Kiufupi napenda kuwa chini ya mtu, nilindwe.

Tatizo lipo kwenye vichangamoto vya hapa na pale.
hiyo ni nzuri coz una kuwa msikivu na mtulivu, napenda familia kwani ndio ime tujenga na naelewa umuhimu wake.

Sipendi tu makelele yaliyo zidi, mtu mjuaji au mpenda vurugu.
 
Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.

Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang

Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.

Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.

Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.

Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
MaashaAllah, hongera sana mkuu what a milestone

Nawaombea ndoa yenye Baraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom