Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,458
- 857,742
- Thread starter
- #161
Fuliji la kamongo waliochacha😂Unakuta mwanamke anaenda lodge, haogi vizuri, haji na mafuta, anaogea tusabuni twa gesti, anaenda mapokezi kuomba mafuta, anajinyunyiza na pafyumu ya kupima ile ya elfu kumi. 😁
Anakuwa kama friji la chafu, ukilifungua nyumba nzima inanuka. 😁