Wewe mapupu yana tofauti NTU na NTU wewe unadhani kinyesi Cha mlevi ni sawa na kinyesi Cha aliekunywa maji mengi mbona tuko zaidi ya sita LAKINI YEYE TU NDO shida.Shida ni ofisi yako ipo jirani na choo , na shida sio huyo binti , ulitaka mapupu yanukie keki?