Harufu zinazokera

Harufu zinazokera

Watie limao au makoko ya ugali

Karne hii unanukaje nguvu jamani.. unless wale wanaoshinda juani, kina mama nguvu na kina baba nguvu
Limao the best remedy.. Makoko mmh
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema yale Makebo kuwa magumu kama tikiti ndio asili

Ila ukalikuta lipo laini kama ini Kuna shida pahali.?
Kuna laini by nature.. Tepetevu tepetepe ndio asili. Lakini kuna magumu hulainishwa na kuna malaini hulainishwa zaidi na viwatilifu😀
 
Wadada pia mkipigwa doggy kama umesuka rasta ndefu zinagusagusa sehemu sometimes bila kugundua,baadaye mnanuka kumbe rasta zimegusa mstari.
 
Sijakuuliza kwa bahati mbaya mkuu

Ngoja niweke mukhtasari wa swali naomba uwe mvumilivu

Kuna siku Nilipanda daladala nikabahatika kukaa siti ya nyuma mwisho kabisa ya watu wanne

Ila kwakuwa wenye daladala hawapendi kukubaliana na uhalisia huwa tunapangwa mtu tano.!

Sasa wakati tupo mtu 5 wote modo mmoja wetu akashuka ila Kuna Tandam na Makebo yake ilikuwa karibu nikajua huyu hatoshi hapa lazima ataacha tubaki tulivyo

Ajabu bidada akakaaa.! 🤭 Nikajua leo kazi tunayo, Ajabu zaidi alitosha.!

So unaposema vitu vinalainishwa unaniweka njia panda. 😂
 
Kuna Kale kaharufu wanawake wanabaki Nako baada ya kutoka kuifunika amri ya sita...😶‍🌫️😶‍🌫️.. plus na ile Harufu Harufu ya mafuta ya kondom dah!.. mimi huwa inanipa kichefuchefu sana.. anyway miili ya wanawake imeumbwa tofauti sana compared na sisi wanaume as far as personal Hygiene is concerned..

Shout out kwa ladies wote wanaozingatia usafi binafsi wa mwili....mna nafasi ya pekee sana moyoni mwangu though 😎😎😎
 
Wadada pia mkipigwa doggy kama umesuka rasta ndefu zinagusagusa sehemu sometimes bila kugundua,baadaye mnanuka kumbe rasta zimegusa mstari.
20260402_074957.jpg
 
Sijakuuliza kwa bahati mbaya mkuu

Ngoja niweke mukhtasari wa swali naomba uwe mvumilivu

Kuna siku Nilipanda daladala nikabahatika kukaa siti ya nyuma mwisho kabisa ya watu wanne

Ila kwakuwa wenye daladala hawapendi kukubaliana na uhalisia huwa tunapangwa mtu tano.!

Sasa wakati tupo mtu 5 wote modo mmoja wetu akashuka ila Kuna Tandam na Makebo yake ilikuwa karibu nikajua huyu hatoshi hapa lazima ataacha tubaki tulivyo

Ajabu bidada akakaaa.! 🤭 Nikajua leo kazi tunayo, Ajabu zaidi alitosha.!

So unaposema vitu vinalainishwa unaniweka njia panda. 😂
Mkuu tuna watoto wetu humu ndani nashindwa kujiachia.. Lakini ukikutana nalo laini Kama supu ya mapupu basi jua limerutubishwa makusudically
 
Back
Top Bottom