Harufu zinazokera

Harufu zinazokera

Mbona bado tuko sawa.. niliuliza ina uogaji special tofauti na huu huu? Au ukimaliza unatakiwa uioshe na jik 😀😀

Au unasemea wale wanaomaliza wanaenda nje kuendelea na ratiba zingine bila kuoga

Hapana sio special, sio uoshe na JIK, mimi nasemea tuu kwamba, watu wengi Me na Ke, (sio wote), hawajui kuoga janaba. Sio wote lakini.
 
Panda usafiri wa wengi baada ya kazi utakutana na harufu za kila aina.. Na zinakera hasa.. Na zikiwa combined unaweza kupata kinguzumkuti cha kiafya
. Midomo inayonuka
. Vikwapa
.Janabha
. Pad za mp
. Boxer zilizorudiwa kuvaliwa bila kufuliwa
. Vifuniko vya asali vichafu
. Jasho sehemu za pachupachu
. Nywele chafu (kwa majina yake yote)
Nknk
Kwa asubuhi hii sio mbaya sana zaidi ya harufu za vipodozi vyenye kemikali, manukato ya bei ya jioni na marashi yaliyozidishwa kipimo
Sasa combination hii ikutane na ile ya jioni😂🙌🏿
Wanaonuka midomo WENGI Huwa wanakula sana protein au waloshimda njaa.

AISE mkuu papuchi inanuka baana MTU kavaa vizuri suruali yake kajipodoa Kwa basi umekaa nae ikifika saa 7 mpaka10 aiseh, combination ya jasho na harufu mbaya.
 
Wanaonuka midomo WENGI Huwa wanakula sana protein au waloshimda njaa.

AISE mkuu papuchi inanuka baana MTU kavaa vizuri suruali yake kajipodoa Kwa basi umekaa nae ikifika saa 7 mpaka10 aiseh, combination ya jasho na harufu mbaya.
Pole kwa kukutana na kipochi manyoa kinatema
 
kuna mdudu fulani kama kobe , mdogo sana , wanapenda kufauta mwanga wa taa .. kipind hiki cha mvua wanajaa sana kama ukiwasha taa . Aisee , mdudu ananuka huyo .
 
Back
Top Bottom