Harufu zinazokera

Harufu zinazokera

dental-floss-picks.jpg

Ukimaliza kula yale mapande ya mbuzi na ng'ombe kabla ya ile romantic moment, please tembea na hivi vitu kwenye pochi, wallet yako. Ukienda supermarkets nyingi wanazo. Zinaitwa "dental floss"
 
Wahindi ndio najua kuna mda manukato yao yananuka kwa sababu wanatumia sandalwood , Inasemekana mda mwingine yanakaribisha chawa , ila kwa usafi waarabu wapo vizuri
Sandalwood inanuka?
Mbona nimetumia sana sabuni za sandalwood naona ziko poa!
 
Sandalwood inanuka?
Mbona nimetumia sana sabuni za sandalwood naona ziko poa!
Hiko kiambata nimekitumia ila baada ya mda naona kama harufu yake inanuka , sina uhakika ila sikipendelei
 
Alafu Kuna marashi flani wanawake WA kiiislam wanapenda kupaka akipaka hayo ata ukimtuma maji KWENYE glass yote ukianza kunywa ni harufu TU ya marashi MPAKA kero
Yeah wanawake wa kiislamu hasa wavaa majuba wanapenda kujifusha sana udi na marashi makali.
Binafsi nikikaa nae hata dakika kumi, lazma kichwa kiniume kwa hiyo nikikutana nae lazma niondoke hilo eneo. Na kama ni mtu wa karibu lazma anajua kuwa sipendi marashi makali haswa yenye harufu inayofanana na udi ama ubani
 
Bila kuvumiliana hatutafika😊

Nakumbuka Nlikuwa napanda daladala nna allergy na marashi makali Yale ya kiarabu najikuta nimebanan na mdada kavaa baibui kajipulizia ya kutosha na hewa mzito mvua inannyesha vipo vimefungwa gari limejaa,halafu foleni kubwa haitembei saa nzima ,ni kizunguzungu najikaza nsidondokešŸ˜„
Bado Kuna wale wanaovaa raba zinavunda,Kuna wenye majasho nadhani hawaogi week nzima na hili joto la dar
Bado Kuna wale wanaovaa raba zinavunda,Kuna wenye majasho nadhani hawaogi week nzima na hili joto la daršŸ˜€
 
Back
Top Bottom