cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 115,225
- 185,471
Naunga mkono hoja, kuna dada tulikua tunaishi jirani, nyie anaoga mara 3 kwa siku, yaan mda wote yuko safii. LolAnayebisha hajaishi nao. Ni wasafi sana kwakweli. Ukikutana na mdada wa kirangi mchafu ujue huyo hajakulia kwao au hajalelewa na mama mrangi aliyekulia urangini.