Harufu zinazokera

Harufu zinazokera

Hahahaha😂 siku hizi kuna nyavu za kichina zinauzwa buku.. Zinatakatisha lakini hazifikii dodoki.. Au chicha la nazi kule Tanga😀

DODOKI lilikuwa sio poa mkuu!
Chicha la nazi freshi, lina mafuta yale hatari, hata kama mtu ana shimo la hewa, anatakata sio poa. 😁

Nimecheka sio poa! Nitarudi ngoja nifanye kazi za watu mkuu. 🤣
 
Back
Top Bottom