Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

unikome Ntuzu tena ukiniona pita mbali

Mwambie baby wangu miss chagga tena unamwona Ntuzu ni huyo aliyenyoa kiduku hapo muone anavyovamia ngoma za watu

Binamu ondoa shaka ndo nshatia timu mie
hivi wajui kuwa MM NI MAMA KOMANDOO ;MFUNDAJI NA MWALIMU WA WANAWAKE MJENGONI HAPA
si umeona mwenyewe nilivyowatuliza wamekuwa wakihema juujuu wakiendelea niambie

ILA BINAMU sijui niseme au niache ...................... !!!! acha nikunongoneze "kule rockcity ndo nime🙂 mwenzio ingawaje ndo washamba kivile" wanavaa earphone za studio barabarani wametia jeans na laba mzinga ni kama wanakwenda kuhani mpunga

Ndo maana wakija mjini ukiongea nao mpaka uongee kwa sauti kubwa maana masikio yashakufa hayasikii tena
Kweli aise kaa mbali nao binamu aise wasije wakakuvutia na wewe uvae hayo ma earphone makubwa kama wanamusic wakiwa studio
we tuko shereheni ruksa kubonga kikwetuuu

Mhhh haya bana mwallu endeleeni sisi tunawaachia sherehe yenu bana
 
Last edited by a moderator:
haaa kweli best unanichekesha mm tena wa kupotea
wakati nikiona tu View attachment 165866 inanipa alama ya mwelekeo niliyotoka
si ndio nyie huwaga mkitoka shamba na baiskeli huwaga mnambeba mtu pembeni iili aangalie nyuma kama gari linatokea lisijekuwakandamiza au?

Ktk siku niliyofurahi ni Leo!

Yani natangaza kuachana na Huyu miss chagga na kwasababu hanifurahishi moyo wangu!

Naona ladyfurahia uko huru kabisa na hakuna vijana wa fujo km Mr Rocky na Mndengereko waliotangaza nia zao!

Kwakua Leo umenifurahisha Mimi na muuza ubuyu nakutangaza Kua wewe ni laazizi wangu!
 
Last edited by a moderator:
ati wasema!? kuongea sauti kubwa?....sa na kwa nini unong'one wakati sauti yao
Mwambie baby wangu
miss chagga tena unamwona
Ntuzu ni huyo aliyenyoa kiduku hapo muone
anavyovamia ngoma za watu

Ndo maana wakija mjini ukiongea nao mpaka uongee kwa sauti kubwa maana
masikio yashakufa hayasikii tena
Kweli aise kaa mbali nao binamu aise wasije wakakuvutia na wewe uvae
hayo ma earphone makubwa kama wanamusic wakiwa studio

Mhhh haya bana mwallu endeleeni sisi
tunawaachia sherehe yenu bana
 
Last edited by a moderator:
Mwambie baby wangu miss chagga tena unamwona Ntuzu ni huyo aliyenyoa kiduku hapo muone anavyovamia ngoma za watu

Ndo maana wakija mjini ukiongea nao mpaka uongee kwa sauti kubwa maana masikio yashakufa hayasikii tena
Kweli aise kaa mbali nao binamu aise wasije wakakuvutia na wewe uvae hayo ma earphone makubwa kama wanamusic wakiwa studio

Mhhh haya bana mwallu endeleeni sisi tunawaachia sherehe yenu bana

Hamnisumbui nimeamia kwa ladyfurahia kwenye FURAHA!

ladyfurahia Ebu Njoo basi laazizi wng!
 
Last edited by a moderator:
Safiri salama Ntuzu na ukifika kwa ladyfurahia unapokea za uso maana namjua binamu yangu yule mwallu ndo maana huwa mnapayuka hamuwezi kuongea kwa sauti ndogo kisa ni hayo makitu miss chagga love you so much dear njoo tule raha msumbufu wetu kashasepa zake anatupigia kelele tuu hapa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa, mkuu wangu Ntuzu, ukumbuke kuwa ladyfurahia ni MC mkongwe! Ni mtaalamu sana wa kushika Mike huyo sijui kama utahimili! We cheki signature yake tu!
Ktk siku niliyofurahi ni Leo!

Yani natangaza kuachana na Huyu miss chagga na kwasababu hanifurahishi moyo wangu!

Naona ladyfurahia uko huru kabisa na hakuna vijana wa fujo km Mr Rocky na Mndengereko waliotangaza nia zao!

Kwakua Leo umenifurahisha Mimi na muuza ubuyu nakutangaza Kua wewe ni laazizi wangu!

Hamnisumbui nimeamia kwa ladyfurahia kwenye FURAHA!

ladyfurahia Ebu Njoo basi laazizi wng!
 
Teh teh teh teh, anayeangalia mbele atakuwa wewe na wa mbele anayekandamiza atakuwa Ntuzu! Hahahahaaaaa, aiseee Ntuzu unainjoy hadi nakuonea wivu kaka!
hahahahahhaaaaaaaaa umeonaje jamani wakati wako wanaenjoy mmoja anaangalia nyuma hapo
wa mbele anakandamiza mbele
 
Last edited by a moderator:
Safiri salama Ntuzu na ukifika kwa ladyfurahia unapokea za uso maana namjua binamu yangu yule mwallu ndo maana huwa mnapayuka hamuwezi kuongea kwa sauti ndogo kisa ni hayo makitu miss chagga love you so much dear njoo tule raha msumbufu wetu kashasepa zake anatupigia kelele tuu hapa

mpenzi wangu Mr Rocky duh tumepambana mpaka tukamtoa adui..... nakupenda zaidi baby wangu Mr Rocky love usana.... pole baby kwa kazi..... middle100-roses.jpg
 
show what you got...
ila tukianza kuongea na wetu wa moyo pia kuna sauti yake
Safiri salama
Ntuzu na ukifika kwa
ladyfurahia unapokea za uso maana namjua binamu
yangu yule mwallu ndo maana huwa mnapayuka
hamuwezi kuongea kwa sauti ndogo kisa ni hayo makitu
miss chagga love you so much dear njoo tule
raha msumbufu wetu kashasepa zake anatupigia kelele tuu hapa
 
Last edited by a moderator:
heeeeeeee YASHAKUWA HAYO TENA JAMANI

NI SHIDAAAAAA!!!!!!

BINAMU Mr Rocky NJOO UMSIKILIZE HUYU ANATAKA KUNIVALISHA EARPHONE ZA KISUKUMA

Back
Top Bottom