Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI MBONA HIVI TENA

WEWE HUJUI KUWA MM NI KOMANDOO YANI MM NIKANDAMIZWE WAKATI NIKO WAPI
NYIE NYIE NAONA MNATAFUTA :msela:
Teh teh teh teh, anayeangalia mbele atakuwa wewe na wa mbele anayekandamiza atakuwa Ntuzu! Hahahahaaaaa, aiseee Ntuzu unainjoy hadi nakuonea wivu kaka!
 
Hahahahahah oky hivi huyo kaka yako ataniweza kweli mie?

Maana mm ni mama komandoo halafu isitoshe kwetu kitu hiki TT.jpg

ni jambo la kawaida sana kulifanya hasa pale anapokuuzi
we love you wifie..karibu kwetu upate raha na furaha
cc: ntuzu
 
images (1).jpg

miss chagga love sana baby wangu
Pole pia kwa kazi na burudika na maua hayo baby
ladyfurahia yaani hapo binamu nakuonea huruma kuvalishwa earphone kama mwanamusic angalia usije ukawa kiziwi
Na ujue kucheza ngoma za kisukuma binamu
 
Last edited by a moderator:
Komando gani wakati sasa hivi una :mimba:ya Ntuzu!
JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI JAMANI MBONA HIVI TENA

WEWE HUJUI KUWA MM NI KOMANDOO YANI MM NIKANDAMIZWE WAKATI NIKO WAPI
NYIE NYIE NAONA MNATAFUTA :msela:
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
binamu wewe unapenda mie niende mwanza? nitaweza kweli kuchukuliana na wale kweli
si unajua kwetu sie ni mabaunsa na makomandoo?
View attachment 165895

miss chagga love sana baby wangu
Pole pia kwa kazi na burudika na maua hayo baby
ladyfurahia yaani hapo binamu nakuonea huruma kuvalishwa earphone kama mwanamusic angalia usije ukawa kiziwi
Na ujue kucheza ngoma za kisukuma binamu
 
hivi unaona ni kazi rahisi sana ya kukandamizwa kitambi mapema namna hii weeeeeeeee nikome mwana wa mwenzenu mie ntaka kula raha halafu kitambi baadaye au nakosea Ntuzu
Komando gani wakati sasa hivi una :mimba:ya Ntuzu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom