Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Hivi unanipenda kweli ? Na hata nikiwa katika hali kama hii
PP.jpg

bado utanipenda naomba jibu?

jamani laaaziz maswali tena?!! Basi uliza jepesi!
 
HAhahahaaaaa, kwetu mahari ya ng'ombe 6 wala si kitu! Pamba za kuvaa utajichagulia idadi upendayo kwa Ntuzu pesa zimelala!
Tunataka mahari ya ng'ombe 6 na mikeka na mafundo fundo kadhaa

halafu mie mwenyewe ni mtoto niliyeumbika hivyo lazima anipe View attachment 165896

za kuienjoy nazo kabla sijafika kwa wakwe maana mwendo wangu ni vimin
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie nakushangaa tu, kwa Ntuzu yani hakuna shida kabisa vyote vipo kasoro mke tu ndo hana. Ndo maana ameamua kukuomba wewe na namna unayoupenda mji wa mwanza utainjoy sana, u will make a very nice couple!
Hivi unanipenda kweli ? Na hata nikiwa katika hali kama hii
View attachment 165901

bado utanipenda naomba jibu?
 
Last edited by a moderator:
heeeeeeeee shosti kumbe huyu yuko kwenye ile TEAMBazazi? haaaaa!! nilikuwa sijui


hebu kuja huku Ntuzu uniambie mapema kabla sijaja huko mwanza
nipe list yako yote uliyokuwa unacheza nayo huko

nataka list ya jinsia hii gg.jpgsipendi kuwa na mtu ambaye amekuwa na lukuki ya SACCOS kama
yule mmasai wa kishumundu
ladyfurahia mchkue tu huyu mimi simtaki tena
 
Last edited by a moderator:
Na ukikamata 'mike' yake Ntuzu, msukuma mwenzangu atakuimbia hadi nyimbo zote za kilugha na akizimaliza zote sijui ataimba nyimbo gani! Ngoja aje atuambie!!
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa
umenifurahishaje

na vilevile mm ni MBUNIFU WA MAVAZI hivyo atajisikia murua kupata babe mtundu kila idara
 
Last edited by a moderator:
shem sikutegemea kumbe umenipaisha kwa mtu ambaye alikuwa ana SACCOS lukuki humu mjengoni
kweli nimeamini binamu Mr Rocy maneno yako ya mwanzo kumbe huyu ni TEAMBAZAZI nilikuwa sijui mie

acha nilie nimeingia choo gani mie jamani hihihihihihiiiiiiiii

bb.jpg
We weka mahesabu ya hao ng'ombe uone mambo yanavyowekwa sawa!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu njoo huku baby wako kaingiliwa na wachonganishi! Yeye anakupenda lakini sasa kuna tuhuma kibao dhidi yako usipozijibu atadhani ni kweli! Shemu tulizana, utamu wa moyo wako anakuja si muda mrefu!
shem sikutegemea kumbe umenipaisha kwa mtu ambaye alikuwa ana SACCOS lukuki humu mjengoni
kweli nimeamini binamu Mr Rocy maneno yako ya mwanzo kumbe huyu ni TEAMBAZAZI nilikuwa sijui mie

acha nilie nimeingia choo gani mie jamani hihihihihihiiiiiiiii

View attachment 165913
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom