muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
- Thread starter
- #241
Wala usiwe na shida, achana na wambea, si muda mrefu@ntuzu anakuja kukuelezea ukweli! Umbea wa watu wa nje achana nao, wanakujaza maneno lakini wao wametulizana kwenye ndoa zao! Akili kumkichwa shem, ohoooooo!
umeniboa shem umeniuza kwa mbuzi wa kisomali mbeba SACCOS doubledouble mjengoni humu?
SIKUTEGEMEA MIE