Happy birthday to me, Muuza ubuyu

Happy birthday to me, Muuza ubuyu

asante binamu kwa kunifumbua macho mapema namna hi kabla hata sijakwenda kwake maana ningeenda kimasomaso ningeambulia kitoto kule halafu ingekuwa aibu kwa daddy watu8
mwallu hasingiziwi mtu hapa mwambie kaka yako aachane na saccos yake muuza ubuyu nampenda binamu yangu bana nyie mlifikiri ni mteremko eehh hapa hakuna kitu aise
 
Last edited by a moderator:
my dia hivi ni kweli hayo maneno ninayosikia sasa toka kwa watu wangu wa karibu na ndugu yangu wa damu
kuwa wewe hujatulia ni MCHEPUKAJI ORIGINALE?
Baby angu mi siko ktk Hiyo timu na sijawahi Kua huko!

Achana na hao waongo hawatutakii mema!
 
Aisee Ntuzu njoo kwa mke wako bwana, anasikiliza sana majungu! Najitahidi kweli kumtuliza lkakini kuna jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky anamrubuni sana hadi nashindwa kuelewa kwa nini anasikiliza maneno ya pembeni! Njoo bwana!
asante binamu kwa kunifumbua macho mapema namna hi kabla hata sijakwenda kwake maana ningeenda kimasomaso ningeambulia kitoto kule halafu ingekuwa aibu kwa daddy watu8
 
Last edited by a moderator:
HUWEZI KUGOMBANISHA NDUGU WEWE NDUGU NI NDG WATAKUJA SIKU KUKULETEA DHORUBA BURE NI BORA UACHANE NAO NA HUYO Ntuzu MWAMBIE KUWA MM SIPENDI SACCOS NA WALA SIPENDI MTU MCHEPUKAJI ALIYE NA KATIKA TEAM BAZAZI KWANI NSHAFANYA UCHUNGUZI NIMEONA MNANIUZIA MBUZI KWENYE GUNIA LILOTOBOKA
Aisee Ntuzu njoo kwa mke wako bwana, anasikiliza sana majungu! Najitahidi kweli kumtuliza lkakini kuna jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky anamrubuni sana hadi nashindwa kuelewa kwa nini anasikiliza maneno ya pembeni! Njoo bwana!
 
Last edited by a moderator:
Achana na umbea huo, Ntuzu hajatumika kabisa! Yaaani bado yupo kwenye makaratasi ya kiwandani kabisa!
HUWEZI KUGOMBANISHA NDUGU WEWE NDUGU NI NDG WATAKUJA SIKU KUKULETEA DHORUBA BURE NI BORA UACHANE NAO NA HUYO Ntuzu MWAMBIE KUWA MM SIPENDI SACCOS NA WALA SIPENDI MTU MCHEPUKAJI ALIYE NA KATIKA TEAM BAZAZI KWANI NSHAFANYA UCHUNGUZI NIMEONA MNANIUZIA MBUZI KWENYE GUNIA LILOTOBOKA
 
Last edited by a moderator:
hata ndugu yangu Mr Rocky ana chuki binafsi na mm jamani
kama sio kumsingizia nini hujui kuwa huyu binamu yangu amenisomesha mpaka kufika hapa?

hapo nakataa kabisa kuna ukweli kabisa maana nasikia alikuwa anamfukuzia Karucee
katolewa nockout kule halafu akaingia jukwaa la siasa ndo wakamzaba mabao kule
huyuhuyu kaka yako kweli nitamwamini mie nyie msijenipelekesha kama yule mtu wa kishumundu mjue
nimeamka mjue sijalala

Mi niko #teamRafiki km Mr Rocky hanitambui aseme Hapa sasaivi niwaite viongozi!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa, kwishney! Unajifanya kulalamika tu kumbe Ntuzu ameshakumaliza! Hebu cheki picha yenu mliyopia jana, jamaa kanitumia sasa hivi!
stock-photo-black-couple-expecting-pregnancy-portrait-outdoor-116290171.jpg
HUWEZI KUGOMBANISHA NDUGU WEWE NDUGU NI NDG WATAKUJA SIKU KUKULETEA DHORUBA BURE NI BORA UACHANE NAO NA HUYO Ntuzu MWAMBIE KUWA MM SIPENDI SACCOS NA WALA SIPENDI MTU MCHEPUKAJI ALIYE NA KATIKA TEAM BAZAZI KWANI NSHAFANYA UCHUNGUZI NIMEONA MNANIUZIA MBUZI KWENYE GUNIA LILOTOBOKA
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wangu wanaJF,

Ninayo furaha kubwa kuwaarifu ya kuwa leo ni siku ninayoadhimisha miaka
kadhaa tangu nizaliwe!

Kwanza namshukuru mwenyezi Mungu kunipendelea kwa kunipa nafasi ya kuja
kuishi hapa duniani mpaka umri huu kwa namna aliyoona inampendeza yeye
kwani wapo wengi waliofariki kabla ya kufikisha umri kama wangu! Naomba
azidi kunipa nguvu ili niweze kuishi kwa kumpendeza yeye kwani dunia hii
imejaa dhoruba nyingi sana!

Pili,nawashukuru wazazi wangu baba na mama kwa kunilea katika malezi
mema ambayo mpaka sasa yananiongoza kuishi vyema na jamaa, rafiki, ndugu
pamoja na watu wote kokote niendako, thank you so much mama and my late
daddy (Hope umepumzika kwa amani huko uliko, R.I.P daddy! I will miss
you so much while living your best teachings!)

Tatu nawashukuru sana watu wote walio karibu na mimi ndugu, jamaa na
rafiki zangu ambao neno ama tendo walau moja tu lililo dogo kama mbegu
ya aradani limeweza kuchipua na kumea ndani yangu na kuzaa tunda la
mafanikio kwangu, I really love you all!

Na mwisho kabisa, nawashukuru ndugu zangu special from Jamii Forum, JF
is really a nice and best place to be in the world! Hapa napata furaha
na mawazo/ushauri either kupitia maulizo yangu ama ya wana JF wenzangu,
aminini nawaambia, nyinyi mmehusika sana mimi kufika umri huu either kwa
ushauri wenu ama kunichekesha na kunifurahisha hivyo kuniongezea siku
zangu za kuishi!

Asandu sana ndugu wenzangu makaribhu huku kwetu tulye mayobha (maboga)
na makiliwa mengine bhila gusahau na masamaki mengine masato, nkalango
na masangu! Nina wapendaga sana bhagosha na wakima wa hapa hapa kwetu,
nasema hapa hapa JF iliyo mbele ya lilaputopu langu!

CC. Limpenzi langu
King'asti na
libaba mukwe langu
Mtambuzi !
Madada yangu
Evelyn Salt,
Kongosho,
mwallu na
limume lake li
Mentor eti
nalo ni lishemegi langu!
Makaka yangu
Pasco,
makoye78,
Ntuzu,
Mwanamalundi
(mzee wa hayatuhusu, ahahahaaaa!),
Erythrocyte,
cybertech,
Simiyu Yetu
(hapa toa siasa zako bhageshi),
MziziMkavu,
Nyani Ngabu
Bila kuwasahau ma-comediani
benteke
(Acha kuvaa G-string ya demu wako) na
Bujibuji !,
Na limtani langu lidada la kutoka siku ya gulio katerero
charminglady

Ma-JF niliyoyataja ni machache machache tu niliyoyakumbuka kwa haraka
haraka wajameni!
For sure, from the bottom of my heart, I LOVE YOU ALL JFs BECAUSE YOU
REALLY MAKE MY DAYS!
Long live muuza ubuyu, long live JF!
Ng'wabheja sana!

hbd mkinga
 
Safi sn dada yng!

mujuni lwambo Ng'wamapalala andaeni Maji na Kaniki nyeusi na ngozi na mkuki na kina mwallu andaeni Maji na Yule kijana mtundu Kiranga aandae maziwa Masonga na samli mtoto muuza ubuyu tunataka tumtoe nje leo! Katimiza siku za Kutoka nje!

ng'wana @ong'wa kulwa simamia hili zoezi!
Nagwigwa bhageshi.

Sikusikia mlio wa filimbi mapema kwa ajili ya maandalizi ya sherehe kwa sababu nilikuwa shambani navuna mahindi na pamba yangu.

Inanibidi nikaangalie zizini pindi ng'ombe wakirudi kutoka machungani.
 
Usijali Mkuu pamoja sn kaka!
 
Back
Top Bottom