<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

ooh basi pole mama usilie ctakucheka tena.

hata kama umeacha kunicheka bado nalia.... Nina ombi (only if you don't mind) ili ninyamaze kabisa naomba mtakie babu happy belated birthday.... Pleeeease....:A S embarassed:
 
Mimi ndio maana sina wasi wasi ukiwepo wewe juu ya shemejio....lol... Hapa nina Imani kabisa, I hope ulimpa mahitaj yooote asubuhi na alipata breakfast ya maana.... anapenda saana kalmati, ulizianda ambavo hua naandaa?
OMG! Am outta here!!:A S-coffee:
 
lol.... me pia namtakia babu yetu maisha marefu yenye heri na fanaka tele jaman.
dah sikuwepo bana big sisy najutaje, bt i hope mlienjoy eti???
me babu namletea zawadi yake io ipoo 2.
 
Na watu wote semeni Amina.

Obsesd hun, hebu Come This Way........😛hoto:
 
OMG! Am outta here!!:A S-coffee:

DON'T! Shem you know me.... No body touches there to my knowledge iwe sijui, ni kama kujitakia suicide ya lazima! lol Ni yale tu basics...
 
Mimi ndio maana sina wasi wasi ukiwepo wewe juu ya shemejio....lol... Hapa nina Imani kabisa, I hope ulimpa mahitaj yooote asubuhi na alipata breakfast ya maana.... anapenda saana kalmati, ulizianda ambavo hua naandaa?
Nashukuru kwa kuniamin,nami nitakuwa mwaminifu siku zote,
Kwa hilo la kumwandalia maankuli naomba nisijisifie,
Msubiri akija atakupa habari zangu,
Ndio utajua hukukosea kunirithisha mikoba ya mamabo ya kichen lol!
 
Ni mimi hapa shem, kwa maana umeniita....

Shem hivi nilimkabidhi Obsesd kwako? she is my kid sis, obedient and very very full of adabu. Handle her with care and that is a WARNING!
 
Aprin
Nili[pitiwa na nikasahau kupitia kwenye huu uzi kukutakia Happy Birthday ya siku ya kuzaliwa kwako
Ila hata kama ni kuchelewa bado naamini utazipokea tuu
Japo Cake ile ya mihogo uliyotengenezewa na AshaDii ishamalizika ila siwezi kukosa hata juice ya Azam
Ila kwa uweli Happy Birthday Babu
Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na amani
Upate kubarikiwa katika yale yote uyafanyayo
Uendelee kuwa na afya katika kila siku ambayo Mwenyezi Mungu anakujalia kuiona hapa duniani
Mwenyezi Mungu akupe kuishi kuwaona wana wa wana wa Wajukuu zako
Happy Birthday Babu
 
Orayt hebu moja kwa moja mpaka kwa kifua cha babu.... how do you feel?
loh.... kweli mjukuu kwa babu hakui aisee.
nataka nikae hapo kifuan milele babu, niwe kitukuu wa vitukuu lol.
 
lol.... me pia namtakia babu yetu maisha marefu yenye heri na fanaka tele jaman.
dah sikuwepo bana big sisy najutaje, bt i hope mlienjoy eti???
me babu namletea zawadi yake io ipoo 2.

Kid sis ulikua wap siku zoote hizi mpaka sherehe imeisha.... Tayari una case.... This family is there pamoja wakati wa shida na raha! Umeonana na shem wako karibuni?
 
Nashukuru kwa kuniamin,nami nitakuwa mwaminifu siku zote,
Kwa hilo la kumwandalia maankuli naomba nisijisifie,
Msubiri akija atakupa habari zangu,
Ndio utajua hukukosea kunirithisha mikoba ya mamabo ya kichen lol!

hahahaha.... Hizo sifa zikivuka tu mpaka unanyang'anywa mkoba aiseee! lol
 
Shem hivi nilimkabidhi Obsesd kwako? she is my kid sis, obedient and very very full of adabu. Handle her with care and that is a WARNING!
I think am too old kukumbuka, lakini waweza kumkabidhi tena. And why WARNING (in capital letters)

Aprin
Nili[pitiwa na nikasahau kupitia kwenye huu uzi kukutakia Happy Birthday ya siku ya kuzaliwa kwako
Ila hata kama ni kuchelewa bado naamini utazipokea tuu
Japo Cake ile ya mihogo uliyotengenezewa na AshaDii ishamalizika ila siwezi kukosa hata juice ya Azam
Ila kwa uweli Happy Birthday Babu
Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na amani
Upate kubarikiwa katika yale yote uyafanyayo
Uendelee kuwa na afya katika kila siku ambayo Mwenyezi Mungu anakujalia kuiona hapa duniani
Mwenyezi Mungu akupe kuishi kuwaona wana wa wana wa Wajukuu zako
Happy Birthday Babu
Mkono mtupu haulambwi, bado napokea zawadi na pledges..

BTT: Thanks Mkuu, huwezi jua jinsi hizi wishes zinavyoniongezea nguvu na pumzi. Especially zinapotokea kwa watu naowaheshimu na kuwathamini kama wewe.
 
Back
Top Bottom