<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->




Darling shem baaada ya simu ulonifokea asubuhi ka mtoto mdogo unafikiri nina hamu? Hayo maamuzi yako mkononi mwa MJ1, Alafu tafadhali muhabarishe aja apange kazi za hawa wajukuu....

Smiles, Cantalisia, Husny, feis buk, obsesd, Golden Mpolee, Kipipi, Michelle, Lizzy, Afro D, Mwali, Daughter.... wanasubiri zamu zao.
 



Sweetie what ever you say goes.... Nisha andaa kila kitu kutakua hata time ya the Extra.....lol
 
Muzee muzima....
Happy birthday....
Sasa....ok....ok.....
Have a blast...

@Shem: hivi hii mistari unaindaa mwaka mzima? unazama tu na kuibua mojamoja....
:focus:



Shem the people you love and close to you - you know.... You don't have to think about what to say about them.... It is just there. Ukiniambia it is your birthday sasa it will take me 10 minutes to post kama hii.....lol... after all you are family.
 
Halafu na wewe una kesi kubwa sana ya kujibu...... Unataka kuendelea kunidanganya bado unasuluhisha matatizo ya ndugu zako? Nlishakuambiaga mi najua kuoa tu, sijui kutoa talaka.



hahahahaha!!! FINALLY!!


Wapi Zion D?? lol
 
ZD Kumbe hii familia haifai? Nahisi yaweza nikuta hata mimi..... naanza kua na mashaka!




Love you have never ever answered me that way.... That explains it all, just a few blanks remaining..... Dah!

There are currently 16 users browsing this thread. (11 members and 5 guests)


Mbona Birthday boy anachungulia tu?

Halafu na wewe una kesi kubwa sana ya kujibu...... Unataka kuendelea kunidanganya bado unasuluhisha matatizo ya ndugu zako? Nlishakuambiaga mi najua kuoa tu, sijui kutoa talaka.

Haya mengine ni ya chumbani...Usiendelee sana hapa wajukuu wengi sana....Lakn Am sorry mengine nitakueleza badae.

Sweetie...you still want me to say something on this?:juggle:
 


Yapa yap.

Don't dare to forget the traditionalist! Na ktk kutekeleza hiyo tradition lazima nipate mjukuu mmoja tu wa babu kwa ajili ya kusimamia show.
 
STOP!! Mjukuu atamteuaje mjukuu mwenzie? Ushasahau mila zetu mara? haya mambo ya wakubwa yanawahusuje wajukuu? Hili ni jukumu lako na dada na mawifi zako kuteua mjukuu ambaye mnaona anafaa kwa hii kazi.....NEED I SAY MORE?
 
ADI,
Nimekubaliana na ushauri wako, sio kwamba sitomuweza smiles bali hatutowezana kabisa!lol

Kwakuwa una maunty wengi endelea kupitisha macho utampata tu.



Umeona eeeh? Dawa yako uwe unatutembelea home juma pili ya Mwisho ya kila mwezi.... Ndio hua twakaribisha mashemeji woote kwa ajili ya lunch, walo ao huja na families zao zoote.... Karibu sana nyumbani.....

BTW Sorry about your name.
 
Umeona eeeh? Dawa yako uwe unatutembelea home juma pili ya Mwisho ya kila mwezi.... Ndio hua twakaribisha mashemeji woote kwa ajili ya lunch, walo ao huja na families zao zoote.... Karibu sana nyumbani.....

BTW Sorry about your name.
Afu shem hii tabia ya kuwakuwadia wajukuu zangu bila kibali changu umeianza lini?
 
Aaaah Antie yangu mbona sasa unasusa? Nakuomba unisamehe Auntie jamani. Mimi nakubali wewe uwe msimamizi mkuu wa shughuli hii, mie nilichukia kwa kuwa hukunipangia kazi jamani.

Babu niombee msamaha kwa auntie jamani
 
Eti shem ni kweli??????kwenye ile thread ya Wanaume wa kichaga?

Ingekuwa kweli, ufalme wao usingekuwa juu ya wajukuu, mashemeji na mawifi....umenisoma eeh shemeji....na mimi pia nasubiri ripoti ukishamalizana na ODM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…