Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

Hongera kwa siku yako hii muhimu sana.


Je kama ambavyo siku hii inamaana na nguvu ya kipee sana upande wa nuruni..

Kipindi uko kule gizani ulikuwa unaitumiaje.?
😀😀😀 kuku wa wateja walipata tabu sana
 
Waitaaa chupa nyingine kwa niaba ya Real Homie

Live long my brother
Salute familia Mshana Jr
cf1f3aac-d29f-4b91-bfd7-9b303ec2593b.jpeg
 
Happy belated day bro...Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na baraka tele.
Uendelee kuwa na moyo wako wa upendo hivyo hivyo
 
Leo nimekuwa na siku nzuri sana.. Siku ya kwanza ya wiki na siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.. Kiroho ina maana kubwa sana

Asanteni sana wote kwa kunipa furaha (chukuchuku😂) let love lead😍
Nimeamua kuwarudishia zawadi ya hizi mada mbili lama ukumbusho wa hii siku muhimu sana kwangu



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom