Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

Happy Birthday Mshana Jr 🎂✨

Leo nimekuwa na siku nzuri sana.. Siku ya kwanza ya wiki na siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu.. Kiroho ina maana kubwa sana

Asanteni sana wote kwa kunipa furaha (chukuchuku😂) let love lead😍
Nimeamua kuwarudishia zawadi ya hizi mada mbili lama ukumbusho wa hii siku muhimu sana kwangu

Chukuchuku 😅 ila birthday boy🤣🤣
 
Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎

kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo

Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper

Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima

I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success

Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨

Guys nisaidieni kum wish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
Happy birthday Mr Mshana Jr , have a good one mdau...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom