ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,239
- 40,779
- Thread starter
- #21
Nooooo🤣🤣1957
Nooooo🤣🤣1957
Na wewe ni mlozi mwenzio kaokoka😅
Usisite msichana, dunia hii vitu vyote vizuri waliumbiwa wanawake. 😊Nitakuambia bado bado babu🤣
Aaaaaa WapiiiiiiiiAmeokoka🤣🤣
Umetumwa au 😅😅mshana niague nimeona jini ujinini
OMG 😲 🥰Usisite msichana, dunia hii vitu vyote vizuri waliumbiwa wanawake. 😊
Hutaki ?Aaaaaa Wapiiiiiiii
Hakunaaa ushindweeUnaweza kuokoka, na ukaendelea kuwa mlozi. Ulozi ni tabia, tunazijenga, zinatujenga. 😊
HahahahaaHutaki ?
Akija mwenyewe atakwambia 😅
He’s such a humble man ❤️
Unataka kumerudisha nyuma mtumishi wa bwana😎Hahahahaa
Kuna uzi nime m tag, aje kutoa Ilimu kule
🥰🥰One-of-a-kind.
Amen Mdogo wangu 🥰Sir God aendelee kumfanyia wepesi kwenye kila jambo lake
Waoh💖🔥💪🏿Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima
I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success
Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨
Guys nisaidieni kumwish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
Thank you so much, my beautiful daughter! Your words brought a huge smile to my face. I am incredibly blessed to have you in my life, and your love is the best birthday gift I could ever ask for. Love you always! ❤️"Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎