Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,257
- 37,036
have a peaceful rest in advance 🐒Ona akili zako sasa ila watu wakijani 🙌
Gudubaiiii
have a peaceful rest in advance 🐒Ona akili zako sasa ila watu wakijani 🙌
Gudubaiiii
Hongera sana Comrade Mshana JrSiku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima
I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success
Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨
Guys nisaidieni kum wish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
Shose ni kifupi cha jina lakoHapana ww sijawahi kuona Uzi wako ndg kama upo ni tag,kwenye shose ina maana gani?
Furahia💖💖💖🙏🏿💪🏿
Ujinga gani tena ujinini ni ujinga 😂Hujaacha ujinga 😅
GudubaiiiiUjinga gani tena ujinini ni ujinga 😂
Ndio Kwa kichaga maana gani?Shose ni kifupi cha jina lako
Vyote 😀Ndio Kwa kichaga maana gani?
Ukiona manyoya...!?Mshana kwahiyo tunasheherekea sangapi?😁
Thanks kaka mkubwa🔥💪🏿
Thanks sana mkuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿Sema wishes za birthday kwa mwanaume ni kama vile hazijakaa poa.
But heri ya siku ya kuzaliwa mshana, mtu wa maana sana aisee , baraka nyingi kwako na shukurani Mungu na pongezi kwa wazazi.
Ujue kimeliwa😆Ukiona manyoya...!?
😅😅 sahii ameokoka anampenda MUNGUmloz mbobevu haamini mambo ya Mungu
Aaah Sir God mwenyewe hapendi unafiki wa namna hio ya ni before amkimbie amuhasi sahi ajirudishe 😅😅😅 sahii ameokoka anampenda MUNGU