Happy birthday to meee @kokutona

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Mungu ni mwema sana. Sina budi kumshukuru sana kwa kunivusha na kunifikisha katika mwaka mwingine wa kuzaliwa. Nafurahia na kuutukuza ukuu wake kwa kuiona siku hii ya leo. Ahsante Mungu for this gift of life.

Ninapofikia siku kubwa kama hii nafarijika kuwashirikisha all of you my JF friends, karibuni tu share that small cake of my new SPECIAL DAY. Uzee unaninyemelea sasa, nakaribia kwenye ustaafu...wale wastaafu wa humu kina babu Dark City Asprin Kaizer @FP Mzee na wengineo niandalieni mazingira will be there soon.

Niliwamiss sana watu wangu wa nguvu humu, japo majukumu yalinipenda zaidi, but for this special day i want to share with u every moment of it, so just a note of birthday to me will be enough to bright my day and bring a smile and colour my day.

HAPPY BIRTHDAY KOKUTONA

Just few to mention Dark City, AshaDii CHUAKACHARA Mwanyasi, Arabela, amu YNNAH, Mzee wa Rula, Mkirua, Ladymasa, @@MAKOLE, Maxence Melo, BAK Ennie, @FP, Avemaria, Arushaone, Excel, kyanaKyoMuhaya PakaJimmy, Preta, lilyflower,@Blakiwomani, Filipo, marejesho, Eli79, BHULULU, Asprin, KakaKiiz, snowhite charminglady, @C6, Madame B, Smile, watu8, Mtambuzi kiwatengu, Nicas Mtei, shansarie Katavi, Ablessed, kabanga, Paloma, sosoliso, gfsonwin, asakuta same, The secretary, Elizabeth Dominic, zion doughter, ladydoctor, Ladyfuraha, Elli, BADILI TABIA, Munkari, Ruttashobolwa, Dinazarde, Kongosho, Mbu, miss neddy, Evelyn Salt, Heaven on Earth, Mwita Maranya, 'Kaunga, mshana jr, Maeskron, Mrembo by Nature, Tuko, Tized, Bujibuji, Washawasha, RRONDO, Passion Lady, Khantwe, stevoh, REALITY, Valentina, Himidini, janeth 1, Blue G, Kipaji Halisi, Mr Rocky, Eiyer, @Chocks, erickb 59, Jiwe Linaloishi, afrondez, Judgement, Slave, Mentor, Slave,
 

Attachments

  • 1411620781455.jpg
    1411620781455.jpg
    28.5 KB · Views: 294
Last edited by a moderator:
Happy birthday KOKUTONA.. Mungu akujalie maisha marefu YENYE BARAKA ZA MWILINI NA ZA ROHONI
 
Last edited by a moderator:
Heri ya siku ya kuzaliwa kwako KOKUTONA.
Mungu akuzidishie na kukupa kwa kadri ya mapenzi yake.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday my dear KOKUTONA
Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani na ukapate raha ya maisha na ukaongozwe pia katika kila unachokifanya
Mungu akujalie ya umande wa mbinguni kama Jacob
happy birthday once again
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom