Hahahaha😂hahahahahahahhaha em nielezee ukweli wa kufuga jini mzee nipate mali
🙏🏿💪🏿💪🏿🔥Happy Birthday to my beloved brother!
May this new year of your life bring you good health, happiness, success, and countless blessings. May God grant you many more years filled with peace, joy, and prosperity.
Enjoy your special day, dear brother.
Happy Birthday!
Asante sana broMshana nakutakia maisha marefu kaka All the best
ok🐒Siku kama ya leo, mwezi wa sita, mwaka fulani… ndio tulibarikiwa Mganga wa JF😎
kabla ya wokovu aliitwa Mganga wa kilingeni msata hukooo
Ila now kama ni Mganga basi ni wa level nyingine… not ulozi tena, but something different, deeper
Kila mtu ana jina lake la kumuita, but me I prefer kumuita Dad AKA D ❤️
Happy birthday to you Dad 🎉
Mpolee 🤗
Mtulivu
Busara
Hekima
I pray for you a long life filled with endless happiness, peace, and success
Bwana akubariki na akulinde
Bwana akuangazie uso wake na akurehemu
Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani Hesabu 6:24-26 🤍
Happy birthday my lovely D🥂✨
Guys nisaidieni kum wish Mganga wa JF AKA GnZ 💪
ok🐒Reading your birthday messages reminded me of how lucky I am to be surrounded by such amazing people. Thank you for your beautiful words, your constant support, and for making me feel so incredibly loved and celebrated."💖💖💖🔥
🔥💖🔥💖💖💖Long life kaka’ake hunaga makuu na mtu, roho safi! Ishi sana❣️
Hujaacha ujinga 😅nafatilia mambo yangu dearest huku ujinini siku ya nne leo 😀
Anyway 🐒
okay 🐒Anyway 🐒
Mtoe huyo ngedele hapa😅😅okay 🐒
we badala uzingatie maelezo, unaangalia ngedere,Mtoe huyo ngedele hapa😅😅
Shenziii 🐒we badala uzingatie maelezo, unaangalia ngedere,
au nyie ndio wale mkiwa barabarani macho kodo pembeni badala ya kua makini kutembea kwa usalama barabarani 🐒
hiyo ni useless bana ndugu mdau acha ukodovu macho barabarani kwa visivyo kuhusu 🐒Shenziii 🐒