😅😅😅 ulitakaje kijanaDah bandiko halijakamilika, Kwa sisi wadogo zake vipenzi tunataka kumtumia zawadi Kwa chochote tulicho jaaliwa sa tutafanyaje ? Tunatumia mbinu gani zawadi zetu zifike
Kwa hiyo umetuona sisi wengine ni viazi shoseee?Heri ya kuzaliwa Mshana nyuzi zako ndo zilinifanya kujiunga humu ubarikiwe mkuu
Nilitaka tuma Kwa NAMBA hii😅😅😅 ulitakaje kijana
Na aseme kama ni viazi vitamu au vya 🍟 😅Kwa hiyo umetuona sisi wengine ni viazi shose?
So nikupe lipa no😎Nilitaka tuma Kwa NAMBA hii
Sasa kinacho nishangaza, ye Yuko kimya au ana I'd mbili🤐So nikupe lipa no😎
Ulitaka afanyeje sasa 😅Sasa kinacho nishangaza, ye Yuko kimya au ana I'd mbili🤐
Hapana ww sijawahi kuona Uzi wako ndg kama upo ni tag,kwenye shose ina maana gani?Kwa hiyo umetuona sisi wengine ni viazi shoseee?
hahahahahahahhaha em nielezee ukweli wa kufuga jini mzee nipate maliNyie ni ndugu hampaswi kufarakana😂 hqmoaswi
nafatilia mambo yangu dearest huku ujinini siku ya nne leo 😀Umetumwa au 😅😅
Asante sana mkuuHeri ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa MshanaJr.
Cheers Birthday boy.Asante sana mkuu