sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Umenshushua!..khaaa..Hahahaaaa jionee mwenyewe kasema pati haliendi bila mimi! Jibebelee sasa sweetie!
(ila saa ile nilivotimuliwa mwenzio kweli nlikuwa sijaalikwa...lol)
Umenshushua!..khaaa..Hahahaaaa jionee mwenyewe kasema pati haliendi bila mimi! Jibebelee sasa sweetie!
(ila saa ile nilivotimuliwa mwenzio kweli nlikuwa sijaalikwa...lol)
Nashukuru wifi langu...ur kaka bado yupo safarini mpendwa...amebanwa kidogo, naiman kufikia jioni anaweza akajoin hii party....ila tutawahi kuondoka coz atakuwa amechoshwa na safari...
umekaa kona ipi nikuletee? nimekutafuta muda mrefu.
Ok, happy birthday mamangu, nimekupigia simu ikapokelewa na mchina 🙂
Yah... Tunajitahidi kuyafanya yote ya muhimu mpendwa...Naelewa dear... nimemuona kachoka kweli kweli... Pole na uchovu wa shughuli.... Namshukuru tu Mungu mambo yoote yameenda vizuri na namuona Sweetie yupo soo busy mpaka anashindwa kabisa gusa hapa.... Kikubwa ya muhimu yanafanyika.
Happy Bday mamii mungu aendelee kukulinda me luv you very much nitakuja hapo mida mida
be good
Ah, leo nipo sana... nini kinaendelea hapa? kuna mtu amehsa fanya mpango wa Chippendale au tunasubiri wanaume waondoke? lol
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)
happy bday Hus,nakuombea kila lililo jema
Husn' naomba Cake kipande....lol..
Yu wapi huyu mkemwenzangu leo?.. Toka amalize kuremba ukumbi amepotea kabisaaa!Nyie warembo hapo juu tokana na muongozo hapa unaonesha nyie mpo responsible kuhakikisha kila kitu kipo in order after sherehe kuisha... (Bht kumbuka kua kakako ODM ni mwizi wa glass za champagne - source: King'asti)... Usafiri wenu spesheli upo hapo nje.. kwa number hii nafikiri ile family car "Noah" itawafaa....lol
Wee ni bodyguard wa hawa warembo Chatu... Keep them safe... Ukikwama wakumuona ni The Finest, Kivumah, Rejao au RR...
Yu wapi huyu mkemwenzangu leo?.. Toka amalize kuremba ukumbi amepotea kabisaaa!
Nipo hapa pembeni kwenye njia ya kwenda choo cha wanawake! nipo na Katavi
Happy Birthday Babe! Ishi maisha marefu yenye mafanikio
Lol...huyu mke mwe' naona anataka kuntia aibu sasa...mchuchumio hadi kazini?!?..kweli itamcost sana....Katoa hudhuru... Ukumbini kakaa mda mfupi saana... Kadai kua anahisi hali yake sio nzuri... si unajua safari kashughulika saana... na ile mchuchumio ambayo anataka kuvaa hata kazini naona ina mcost...lol
Nyie warembo hapo juu tokana na muongozo hapa unaonesha nyie mpo responsible kuhakikisha kila kitu kipo in order after sherehe kuisha... (Bht kumbuka kua kakako ODM ni mwizi wa glass za champagne - source: King'asti)... Usafiri wenu spesheli upo hapo nje.. kwa number hii nafikiri ile family car "Noah" itawafaa....lol
Wee ni bodyguard wa hawa warembo Chatu... Keep them safe... Ukikwama wakumuona ni The Finest, Kivumah, Rejao au RR...
Lol...huyu mke mwe' naona anataka kuntia aibu sasa...mchuchumio hadi kazini?!?..kweli itamcost sana....
mwambie katavi asikae nyuma nyuma atasahaulika
Nawauliza warembo watapanda Noah! King'asti anakataa anasema Noah imekaa kama Nguruwe...lol...
Imebidi Rejao, alete Prado yake na The Finest, nae naona kaja na Cadillac Escalade....lol... Kwa ajili ya warembo!
Jamani Husninyo, hepi bes deiiiii tu yuuuuuu mamito!! Mwenyezi Mungu akujaalie maisha mareeefu yenye upendo, amani na furaha! Dah.......siamini ka nimechelewa party!!!