Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

nilihisi kuna mahali naonewa,bt of all the pple sikutegemea from my one dearest brother! kati ya odm na mie nani ana koo kama sim tank la ikulu?

Nimefurahije kukuona... Sweetlady alitupa updates kua uko soo busy na mapambo na cake... mara ukanipigia simu you were so tired sabb sherehe zimeongozana... mara upo hapa .... THANK YOU For changing your mind Wifi....
 
nilienda kujikwatua jamani,nikakuta kiwembe cha kuchongea wanja hakipo. sijui kama odm anaibaga na nyembe? nimewahi kumsaidia the finest kupeksheni watu ili glasi zisipotee na leo (dont worry abt odm,mama matesha leo ni mlinzi wake binafsi.) haya disco toto lishaisha,lianze la wakubwa,lol
Yu wapi huyu mkemwenzangu leo?.. Toka amalize kuremba ukumbi amepotea kabisaaa!
 
nilienda kujikwatua jamani,nikakuta kiwembe cha kuchongea wanja hakipo. sijui kama odm anaibaga na nyembe? nimewahi kumsaidia the finest kupeksheni watu ili glasi zisipotee na leo (dont worry abt odm,mama matesha leo ni mlinzi wake binafsi.) haya disco toto lishaisha,lianze la wakubwa,lol

kwapa umeshevu?
 
thanks mpnz,missed kuuzaring sura,lol. leo nilikua backstage zaidi. ila kakako kazidi kutegea,kesho tunakuja na kesi,lol. ngoja tusherehekee kwanza. hichi kitoto kiko wapi sasa,manake kimevamia rules za small house kinacheza uwanja wa nyumbani!
Nimefurahije kukuona... Sweetlady alitupa updates kua uko soo busy na mapambo na cake... mara ukanipigia simu you were so tired sabb sherehe zimeongozana... mara upo hapa .... THANK YOU For changing your mind Wifi....
 
PA This is one of the songs I love... huu wimbo napenda the below part..

I've lived to be
The very best
I want it all
No time for less
I've laid the plans
Now lay the chance
Here in my hands
Dah!! Hii birthday PA imenifanya niende kwenye library yangu nianze kusikiliza those old goods songs za Whitney hapo hapo nikaanza kuwasikiliza 3T dah these guys walikuwa wanaimba i wonder why musicians don't make good songs like those nowdays

3T;Michael Jackson - Why - YouTube
 
hahahaha.... Those then kids where great aiisee.... Ila utanisamehe walikua wananiboa kimoja tu!! Kujipamba gani kule utafikir watoto wa kike... Khaa!!
 
achana nae huyu nn. afu anakuja kujionesha na husn mbele za watu wakati yeye ni small house. bhangi za siku hizi sijui zikoje,kha!
Khaaa!!! Leo nahisi Ngabu una hasira na Mwajuma wako na sabbu tu it is her birthday unazidirect within na hivo kupelekea kutoa cheche....lol
 
Mwajuma kaniboa bana...mi nimejipinda kumtengenezea double layer pound cake na fruit punch ya nguvu halafu naingia ye anasepa. Atanikoma kesho.
 
achana nae huyu nn. afu anakuja kujionesha na husn mbele za watu wakati yeye ni small house. bhangi za siku hizi sijui zikoje,kha!

Shhhhhhh....don't talk too loud. You are supposed to keep it on the q.t. Remember that.
 
hahahaha.... Those then kids where great aiisee.... Ila utanisamehe walikua wananiboa kimoja tu!! Kujipamba gani kule utafikir watoto wa kike... Khaa!!
Hahaha!! Hapo sina cha kusema hivi Birthday ameishazimika au vipi
 
achana nae huyu nn. afu anakuja kujionesha na husn mbele za watu wakati yeye ni small house. bhangi za siku hizi sijui zikoje,kha!

hahahaha.....:lol:

Mwajuma kaniboa bana...mi nimejipinda kumtengenezea double layer pound cake na fruit punch ya nguvu halafu naingia ye anasepa. Atanikoma kesho.

Hivi umenotice the way you are the only person katajwa kwa hali ya uzito wa hali ya juu.... Haupo katika category yoyote... That means... i have to meza my comments...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom