Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,252
- 10,497
.. (hivi ina maana na Husninyo atakuwa amekupigia anamuulizia TF? iyo simu itakuwa ya kichina)
heeeeee, mi sina simu.
.. (hivi ina maana na Husninyo atakuwa amekupigia anamuulizia TF? iyo simu itakuwa ya kichina)
lol...typical mpwa wangu.....umemwona Kloro apo juu.....?
Ungemng'ata naona....anajua meno ya watoto bado mepya na yana nguvu...sasa utamng'ataje mtaalamu wako mwelekezi wa maabara....eeh?
mmmmhhh, jamani, hii party haijaisha? hivi mnataka watu wasiendi kazini kesho au?party inaendelea kamanda yaani vinywaji jana havijesha.....so the party goes on ! karibu utujoin mwone Klorokwini leo ndo floor manager...
mmmmhhh, jamani, hii party haijaisha? hivi mnataka watu wasiendi kazini kesho au?