Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

We! Nipo hapa mpendwa! Nani analeta shida hapa?..huyu TF naona kazi ishaanza kumshinda, ameruhusuje wazamiaji? Hajui kazi ya wazamiaji ni kuharibu shughuli za watu?..

kama kuna tatizo nikakodishe walinzi kutoka kwa gadafi.
 
My beloved Wifi...usijali wala hukustahili kabisa kuomba msamaha... Vin ni kaka yangu thus shem wa Darling Kaizer... Wee ni Wifi yangu hivo yastahili wee umwite kaka sbb mmeoa na kuolewa nyumba moja... Hata hivo kaka sijamuona hapa.. bado yupo safarini??

Alafu my beloved wifi always remember I Love you too...
Nashukuru wifi langu...ur kaka bado yupo safarini mpendwa...amebanwa kidogo, naiman kufikia jioni anaweza akajoin hii party....ila tutawahi kuondoka coz atakuwa amechoshwa na safari...
 
Umeanza kukosa imani na bodyguard au?....tatizo litoke wapi wakati mimi niko hapa na ile binduki ya mamkwe wako King'asti a.k.a mke mwenzangu?

basi bodigadi, i trust uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
Leo nimekuja mapema, sio kama siku ile nafika watu wameanza kuondoka. tena nimeleta bonge la zawadi: a big, big kiss. Happy birthday Husninyo!!!!

happy-birthday-love-husninyo-.png
 
Kila la heri rafiki (usiniite shostito sipendi kabisa...lol)
Ujaaliwe yaliyo ya kheri !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom