FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Happy Bday mamii mungu aendelee kukulinda me luv you very much nitakuja hapo mida mida
be good
be good
Leo nimekuja mapema, sio kama siku ile nafika watu wameanza kuondoka. tena nimeleta bonge la zawadi: a big, big kiss. Happy birthday Husninyo!!!!
View attachment 39173
happy birthday shosti kidawa..
Kila la heri rafiki (usiniite shostito sipendi kabisa...lol)
Ujaaliwe yaliyo ya kheri !
Ah, leo nipo sana... nini kinaendelea hapa? kuna mtu amehsa fanya mpango wa Chippendale au tunasubiri wanaume waondoke? lolthank you RR, bora umewahi nilitaka nimwagize mlinzi akufate.
Huyu Sharohusninyo yuko wapi kuna mtu hapa kaleta zawadi ya Azam Cola na mahindi ya kuchoma
Happy Bday mamii mungu aendelee kukulinda me luv you very much nitakuja hapo mida mida
be good
Huyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....Huyu Sharohusninyo yuko wapi kuna mtu hapa kaleta zawadi ya Azam Cola na mahindi ya kuchoma
Ah, leo nipo sana... nini kinaendelea hapa? kuna mtu amehsa fanya mpango wa Chippendale au tunasubiri wanaume waondoke? lol
Mtoto mdogo mlaku, utalishwa sumu bana...unamchosha b'guard ujue,...ntaondoka!...hahahah, we sharobaro hayo mahindi niwekee hadi mtoto niote meno. azam cola lete hukuuuuuuuuuuuuuuuu.
hahahahaha, we bak wewe si ulikuwa unanibip.
Kama wamesha panga ngoja nirelax tu mimi sasa... :eyebrows:hivi hukupewa jukumu lako eeh, mpango mzima anao mr and mrs kaizer. ingia ndani tuanze mambo. halafu wanaume wote leo walinde sungusungu mlangoni.lol
Huyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....
Mtoto mdogo mlaku, utalishwa sumu bana...unamchosha b'guard ujue,...ntaondoka!...
Mhhhh! 🙂🙂....Huyo aliyekuwa anakubip siye BAK 🙂🙂 miye nilipiga akapokea baniani nikabaki kupigwa na mshangao tu 🙂🙂
Kama wamesha panga ngoja nirelax tu mimi sasa... :eyebrows:
Khaaah! Umemshtua b'guard, nimekuja mbio kuangalia whats wrong meeen?....hivi mamkwe tutampa adhabu gani akija?..nilikuwa nasikiaga tu kwa watu kuwa mamawakwe wana visa, leo ndio nimeamini...loltobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimesoma badala yake... Unalo!mzee wa mayoutube, nitakunong'oneza baadae unitumie ile youtube. si unajua nisharekebisha. uporoto darling usisome hapa.
Khaaah! Umemshtua b'guard, nimekuja mbio kuangalia whats wrong meeen?....hivi mamkwe tutampa adhabu gani akija?..nilikuwa nasikiaga tu kwa watu kuwa mamawakwe wana visa, leo ndio nimeamini...lol