Happy Birthday Husninyo!

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,288
17,723
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani

Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini

Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo

Siku hii maalumu kusheherekea siku yako ya kuzaliwa!

Happy Birthday Husninyo,,,,,,tunakutakia mafanikio na maisha mema leo na siku zijazo

birthday-cake-by-kim-wilson-21285294.jpg homemade-26-birthday-cake-21454446.jpg

(sweetie kama kawaida, yupo busy na mambo ya jikoni atakuja hapa ukumbini muda sio mrefu. Babu ODM, King'asti, Sweetlady, NN, Kloro,Uporoto, Apollo, na The Boss ndo kamati mpango mzima. TF ni mlinzi leo
 
Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,288
17,723
Orait Orait mipango endelevu inaendelea Husninyo sijui bado kalala

si unajua tena bado mdogo anahitaji usingizi mwingi

Aisee getini leo angalia bana kuna watu wametoka jela watataka kuzamia ndo nikaona we baunsa ukae hapol...
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,908
88,968
Well well well

Hommie, huyu binti kuzaliwa siku moja baada ya kufa Nyerere, Je,

Haiwezi kuwa sababu nyingine ya kukutana na kutafakari huku chupa zenye vimiminika vikiwe mbele yetu?

Je nikimtakia huyu binti heri ya siku ya kuzaliwa kabla ya Uporoto, ntakuwa nimetenda dhambi?

Happy birthday Husninyo!!
 
Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,288
17,723
Well well well

Hommie, huyu binti kuzaliwa siku moja baada ya kufa Nyerere, Je,

Haiwezi kuwa sababu nyingine ya kukutana na kutafakari huku chupa zenye vimiminika vikiwe mbele yetu?

Je nikimtakia huyu binti heri ya siku ya kuzaliwa kabla ya Uporoto, ntakuwa nimetenda dhambi?

Happy birthday Husninyo!!

Hahaha Hommie

Hadi Uporoto atakapofufuka, inabisi wewe ndo uwe bestman pale, maana huyu mpwa wangu Husninyo asikae peke yake

Vimiminika vitakuja kwa wingi hightable, ila mchunge sana King'asti

Klorokwini kamwogopa FA kwa hiyo tumempanga stoo ya maji...lol
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,908
88,968
Hahaha Hommie

Hadi Uporoto atakapofufuka, inabisi wewe ndo uwe bestman pale, maana huyu mpwa wangu Husninyo asikae peke yake

Vimiminika vitakuja kwa wingi hightable, ila mchunge sana King'asti

Klorokwini kamwogopa FA kwa hiyo tumempanga stoo ya maji...lol
Baada ya kusema hayo naomba unipangie kazi.

Umemwona Bebii hapo juu?
 
Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
15,764
11,026
hapi bathdei tu yu. Nakutakia maisha mema yenye mafanikio tele. Ila usisahau kulia sana maana kifo nacho kinakukalibia
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,360
11,568
haha nimemwona, asiee na bonge la kadi, kumbe mkarimu sana aisee hebu ongea naye anaweza kutufaa leo
mbele ya husninyo tena? Ujue mimi ni mgeni humu jf na katika watu walionipokea vizuri ni huyu dada bwana yeye na ashadii.preta,lizzy na wengineo i wish her all the happiness in the world
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Top Bottom