Happy Birthday Husninyo!

Happy Birthday Husninyo!

mzee wa mayoutube, nitakunong'oneza baadae unitumie ile youtube. si unajua nisharekebisha. uporoto darling usisome hapa.

Dah! Speed yako kali sana 🙂🙂 Sikutegemea urekebishe haraka kiasi hiki 🙂🙂...ndio maana naona nanihii zimeongezeka idadi 🙂🙂 hongera zako. Haya ukiwa tayari we nitaarifu tu sina hiyana ya kukutimizia ombi lako.
 
ahsante ndugu, sirudii tena. karibu tuparty.
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)
 
Dah! Speed yako kali sana 🙂🙂 Sikutegemea urekebishe haraka kiasi hiki 🙂🙂...ndio maana naona nanihii zimeongezeka idadi 🙂🙂 hongera zako. Haya ukiwa tayari we nitaarifu tu sina hiyana ya kukutimizia ombi lako.

i always keep my promises. lol. thanks sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)

ukismile na mi nasmile, ukicheka na mi nacheka, ukilia utalia peke yako. eeeh bht dear njo huku mara moja
 
Huyo lazima atakuwa ni klorokwini....mwambie hatupokei zawadi za kula, tunapokea cheque tu hapa... Husninyo na Uporoto wanahitaji pesa kwaajili ya kumalizia ujenzi wa nyumba ati....
Hela za Igunga bado anazo siku kwenye bendi wakongomani wanamuimba
 
ukismile na mi nasmile, ukicheka na mi nacheka, ukilia utalia peke yako. eeeh bht dear njo huku mara moja
Halii mtu hapa...lol!
Huyo mlinzi mbavu mbili baunsa kanaifukuza siji cha kushangaza cheki kaichukua!
 
yaani sharobaro tf anafukuza wageni. khaa! bila wewe sherehe hainogi jamani.
 
Heheeee aah sa mbona unaniangusha nawe! You can call me whatever you wish my dear Husninyo (sio jina baya lakini ntanuna)
mbona nimekuja nikaambiwa sijaalikwa eti? (party crasher)
Hebu kuwa mkweli jamani... Umealikwa?.... Na nani?... Mzamiaji wewe!
 
Hahahaaaa jionee mwenyewe kasema pati haliendi bila mimi! Jibebelee sasa sweetie!

(ila saa ile nilivotimuliwa mwenzio kweli nlikuwa sijaalikwa...lol)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom