Hapa Mheshimiwa alikuwa anataka kusemaje?

kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
sasa kwa nini kaongea kiinglishi.
 
kwani alitumwa Aongee? si angetumia Kisukuma Au Kiswahili....af si huwa hapangiwi cha kufanya
 
Mimi siwezi kujizuia kucheka,ningetumbuliwa kwa kumcheka mkuu
 
Ulimi hauna mfupa wewe mshamba nini... mbona we siku moja ulikusea ukaniita mi mmeo
 
Hapo ni maneno mawili karibu atafune ulimi je ingekuwa sentensi nzima? Lazima mtu awe na hasira tu, lugha haipandi kabisa, uchumi ndio usiseme ni mweupe, ukija kwenye siasa ndio hovyo kabisa, ukija kwenye historia ndio yale ya Sadam Rais wa Kuwait, mara Rais wa world Bank ndio mara ya kwanza kuitembelea Tanzania, kwenye science nako mayolo rejea akiwa anaongea na kina kitwanga kuhusu mchanga!! Jamaaa hamna anachojua hata kidogo
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Yeye kama haoni English ndo usomi kwa nini anaijumuisha kwenye hotuba zake? Si aongee kiswahili na kisukuma ataeleweka? Sasa kujitia kujua lugha ya watu kumbe mweupe!!!
 
Wote mnaocheka humu "just watch out, hamtakiwi kucheka hovyo"

Nyie mnaocheka...be careful, watch it...kama mnadhani mna freedom ya kucheka...not to that extent.

Ila nasikia na Bashite original akiongea ngeli hapa utajificha chini ya meza.
 
Kwakuwa tayari Kichwa chake kimajaa mahasira na visasi hali hiyo ilisababisha kutokuwa na Ushirikiano kati ya neno husika na mdomo wake uliokuwa umenuna ndiyo maana ikapelekea yeye kuchapia huko. Alitaka kutamka front page ila akakosea na kutamka ' frent phojo ' halafu akajishtukia nwenyewe japo hadhira yote iliyokuwepo hapo ikauchuna bila kucheka kwa hofu na kutumbuliwa kwa kumcheka. Jamaa anatoa mno ' maboko ' sijui ni kwanini.
haaaaaaaaaaa......eti hadhira yote iliyokuwepo ikauchuna kwa hofu ya kutumbuliwa
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Mkuu,ni kweli uliyoyasema. Ila mleta uzi ni "ke" kwa mujibu wa ID yake.
 
Back
Top Bottom