Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,592
- 9,234
Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sanaš.
Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo kiharamu, tumekaa palee tunasubiri uchaguzi.
Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo kiharamu, tumekaa palee tunasubiri uchaguzi.