Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,738
- 9,991
Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali
1.Anataka nimsaidie kupika
2.Anataka nimsaidie kufua
3.Anataka niwahi kurudi home
4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda
5.Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui
6.Anadai hata akiumwa au mjamzito sitamjali maana sijui kupika na sina msaada wowote
7.Ananilazimisha ninunue TV, kabati, sofa n.k haraka iwezekanavyo
Karibuni kwa michango yenu