Basi kama hajuwi aongee lugha anayoijua kwani yeye si alikua anangea na familia yake famìlia ambayo wanaelewa kiswahili kuliko kiingilishi kulikua na haja gani kuongea lugha asiyoijuwa yeye wala wanafamiliakwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
huna lolote umbea tu umekujaaHahahahahaha,frent ford.Hhahhahha mbavu zangu jamani.Ulimi hauna mfupa.
Hapo tusidanganyane...hizo nchi ulizotaja zimeendelea sana kias zaweza kujitegemea.TUKUBALI TUKATANE TANZANIA TUNAHITAJI ZAIDI ENGLISH TENA KWA LAZIMA.sisi bado wachanga sana na english is our official language,so ajitahidi tu kuhudhulia kwa RAS SIMBAkwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
PHD ya Magufuli ni fist class inayoheshimika duniani,,,,,,,nyie pigeni mayowe siku zenu zinahesabikaKwani anayo??Nauliza tu maana aliyehoji amepotea na majibu hayajapatikana mpaka Leo.
kusoma kemia na sio english language.mtu anasoma anakuwa daktari na anatibu mgonjwa ila englisha hajui kuongea mana alipokuwa shuleni intention yake haikuwa kujifunza english tena spoken ila to acquire knowledge. mpe kazi ya kikemia afu ndo uhoji kama akishindwa kudeliver.
Kamlazimisha nani aongee lugha asiyoiweza?kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
heh!heh!heh!heh!!! hapo nadhani ni MFUPA HAUNA ULIMI!Hahahahahaha,frent ford.Hhahhahha mbavu zangu jamani.Ulimi hauna mfupa.