Hapa Mheshimiwa alikuwa anataka kusemaje?

Hii kitu niliisikia na sikumuelewa sababu alicheka nikaona pengine ni kisukuma au kihaya... anyway ni Mkuu wenu tu mtake msitake subirini 2020 mpigwe goli la mguu
 
Incoherent speech is part of symptoms of mental disorder !

Kucheka cheka kisichochekeka, ukacheka kwa kilichokuchesha, ni sehemu ya neurological multifunction up there!
 
Hajitambui huyu achana naye, anashangaa habari kuzuiliwa JF na nyingine kuchapishwa! lakini hajishangai yeye kumfuta kazi Nape ambaye hakufanya kosa lolote lile, lakini kumkingia kifua mhuni Bashite pamoja na kufoji vyeti na kufanya uvamizi Clouds. Hajishangai yeye kukaa kimya kuhusu Lugumi. Hajishangai yeye kununua boti uozo kwa bilioni 8.

kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
huyu mzee angesoma marekani tungekoma, kwa jinsi anavyo penda sifa.
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Unamwambia nani mkuu,unabalaa ww shauri yako
 
Hiyo elimu ya kemia kaipata kwa lugha gani? Soma tasnifu yake ya maganda ya korosho, linganisha lugha aliyotumia na hii anayobomoka huku, vitu viwili tofauti mkuu, hapo lazima ukiwa na akili ujue kuna bashiiteism sehemu katika elimu yake

Sina uhakika kama ana hata first Degree.Labda zile za kununua.
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Mkuu, kuhusu Putin unakosea sana kusema hajui English.

Kumbuka he was Former Head of FSB na pia katika basic training za majasusi, English ni basic language.
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Povu la nini mkuu, sasa kama sio lazima kujua kingereza kwa nini hua analizimisha kuongea wakati hajui....
 
Hajitambui huyu achana naye, anashangaa habari kuzuiliwa JF na nyingine kuchapishwa! lakini hajishangai yeye kumfuta kazi Nape ambaye hakufanya kosa lolote lile, lakini kumkingia kifua mhuni Bashite pamoja na kufoji vyeti na kufanya uvamizi Clouds. Hajishangai yeye kukaa kimya kuhusu Lugumi. Hajishangai yeye kununua boti uozo kwa bilioni 8.

Anasema Tanzania imepokea wakimbizi toka Ulaya na Ethiopia. hahahahahaha maisha matamu ukiwa na Bongo flava.Ney wa Mitego kamaliza
 
kwani english mbona unaitukuza sana mkuu si lugha ya watu wengine hata putin hajui english hata raisi wa uchina ila maisha yanaenda. kwani imeandikwa wapii kuwa lazima ajue english.nyie ndo mnaolipia watoto mamilioni naseri ili wajue english mana ndo kipimo cha usomi kwako.mwishowe anatoka anajua englisha kama mwingereza ila kichwani empty. tukuza ligha yako na sio ya wanaume wenzako.
Mbona hii hoja n dhaifu sana kila siku sio kuwa anachapia ajuh na kama ajuhi aiache hiyo Lugha aongee kiswahili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom